dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wenye dharau barabara ya Mbeya - Tunduma

    Kumekuwa na dharau nyingi zinazofanywa na madereva wanaotumia barabara ya kutoka Mbalizi kuelekea Tunduma. Madereva hao wamekuwa waki-overtake bila kuchukua tahadhari, na mara nyingi wanafanya hivi kama chombo cha moto kinachokuja mbele yao ni pikipiki. Unakuta dereva anataka ku-overtake na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe. Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wengine wana dharau sana

    Tumekubaliana aje anipikie pilau na nyama, nishanunua kila kitu hapa namsubiri mpishi afike lakini wapi. Na anajua jana usiku sikula kabisa, huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers? Goddamn sasa hivi vitu nitavifanyaje? Mwana JF yeyote ajae tutoe kitu basi
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usivumilie Dharau

    Usiwaamini wanaofanya dharau kuwa jambo la kawaida Wanapokupotezea — wanadai wako busy. Wanapokukosea— “human nature.” Lakini wewe ukifanya hata nusu ya hayo ghafla umebadilika, Umeanza kiburi, Wewe ndio tatizo, Hiyo sio bahati mbaya… hiyo ni tabia yao. “Watu wengi hawana shida na maumivu ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

    Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata? Hii ni kwangu tu au
  7. R

    JamiiForums Tanzania Steven Wasira acha kiburi, dharau, kejeli ya madaraka. Kuna siku utazitaja dhambi zako you committed against humanity!

    Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dharau na manyanyaso kazini iwe chachu kwako kujiendeleza kimasomo ewe mwalimu

    Usig'ag'anie kuwa na elimu ndogo huku dharau na manyanyaso vikitawala makazini. Chukua hatua mapema nenda kasome Acha upuuzi kabisa wewe Mwalimu
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

    Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba. Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani...
  10. JamiiForums Tanzania Abdul Malik acha dharau kiasi hicho kwa Watanzania. Egypt nayo ni Afrika na sisi siyo Hopeless

    Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about siasa za Tz na last election. Bahati mbaya nilimwambia mimi ni mfanyabiashara from Tz sikumwambia hasa...
  11. JamiiForums Tanzania Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic Najaribu tu kuwaza ingekuwaje kama vijana wa kikristo kujifanya waislam na kwenda pale BAKWATA Makao makuu kupinga...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mpaka mdogo wako anakutangulia kuzaa? Ni dharau

    Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5 Huu ni ujinga
  13. JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi Zanzibar ni jeuri, dharau au kutojielewa kwa waandaaji?

    Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida. Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi japo wengine walilikataa wakajitoa, haya likafanyika, Zanzibar heroes sijui ni nchi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Neno guys, si heshima kutumiwa na kiongozi mkubwa anayejiheshimu

    Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

    Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani. At least wadada wanaotokea kwenye familia za kishua kidogo huwa na heshima kuliko hawa waliojipata na walitokea...
  16. JamiiForums Tanzania Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaotudai 107T, wamezuia misaada. Tukawashikia kiuno tukawahoji kwa dharau 'who are you?' Anayetupa kuishi kazuia mvua

    Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo. Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana. Usiku wa oct 31...
  18. JamiiForums Tanzania Dharau kwa viongozi zimezidi, guyz³ 🎵

    Vijana wa leo sio wa miaka ya 70
  19. JamiiForums Tanzania Dharau kwa viongozi zimezidi, guyz³ 🎵

    Vijana wa leo sio wa miaka ya 70
  20. JamiiForums Tanzania TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

    Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana. Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…