dhamana

Dhamana is a village in Hansi-I mandal of the Hisar district, in the Indian state of Haryana. It is in between the towns of Hisar and Tosham at about 20 kilometres (12 mi) on the Main District Road 108 (MDR 108). Dhamana is fifth village on Hisar-Tosam road, first is Dabra, Second is Mirkan, Third is Bhojraj, Four is Gunjar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), apiga marufuku watuhumiwa kushikiliwa kabla upelelezi haujakamilika

    Agizo hilo limetolewa kupitia Muongozo wa Mashitaka Namba 1 wa mwaka 2022 ambao pia unaagiza upelelezi wa mashitaka kukamilika ndani ya siku 90 na zikizidi iwe kwa kibali maalumu cha DPP. Aidha muongozo huo umeongeza kifungu cha 131A kinachoweka ulazima wa kukamilisha upelelezi kabla ya...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Unafiki na Uzandiki kwa baadhi ya Viongozi waliopewa dhamana ni tatizo

    Unafiki, Uzandiki ulio kubuhu ni tatizo kubwa sana kwa baadhi ya watendaji walio pewa dhamana katika nafasi mbalimbali. Tatizo hili limekuwa na kukomaaa kila mahala kiasi kwamba hata usomi /taaluma na uwezo wa mtu unaweze usionekana, ukiwa mweledi wa Unafiki, fitinana uzandiki au Majungu basi...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua taratibu za kuomba mkopo benki kwa dhamana ya nyumba

    Habari, Naomba maelekezo kutoka kwa members ambao walishawahi kukopa bank kwa dhamana ya nyumba,maana mambo yashakuwa magumu, nyumba iko DSM, ilala kata ya kitunda. Mwenye uzoefu tafadhali naomba maelekezo.
  4. JamiiForums Tanzania Makosa ambayo hayana dhamana kisheria Nchini Tanzania

    Kifungu cha 148(5)(a) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 kinasema; Afisa polisi ambapo mtuhumiwa anashikiliwa au mahakama ambapo mtuhumiwa amepelekwa kusikiliza shauri lake, haitoruhusiwa kutoa dhamana kwa mtu ambaye ameshtakiwa kwa makosa YAFUATAYO; 1. Mauaji 2. Uhaini 3...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wenye Dhamana watathmini changamoto za sensa na kutoa miongozo mipya

    Kwa mtizamo wangu zoezi la sensa limekuwa na "poor planning" Mitaani watu wengi inaonekana hawajafikiwa na zoezi hili katika siku ya kwanza ya 23/08/2022. Siku hii ndiyo ya mapumziko, watu wameshinda nyumbani na makarani hawakuonekana. kuanzia tarehe 24, kila mtu atakuwa kwenye shughuli zake...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni zinazofanya shughuli zake nchini Bila kuwa na vibali/usajili, serikali inatambua(waliopewa dhamana ya kushughulikia hayo)?

    ,
  7. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Ubakaji na Ulawiti mbioni kukosa dhamana

    Makosa ya ubakaji na ulawiti yapo mbioni kuondolewa dhamana kutokana na Serikali kuanza mchakato wa kufanyia marekebisho Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai. Hatua hiyo imetokana na utafiti mdogo uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuonesha kuwa baadhi ya watuhumiwa wa makosa hayo wakiwa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuchukulie MTU ambaye amepewa dhamana ya kuwa Mkuu wa Kitengo/Idara anakuwa hivi, itatakiwa umchukuliaje?

    Kwenye hoja Moja Kwa Moja. Unakuwa na presha kamtu kanakupandisha presha nyingii mpaka unafikia hatua ya kutaka kuacha kazi. Inatukuta Sana na wengi hii tunaichukulia rahisi na kamtu uka-zoom na ukika-scan unaona haka kwani hakajui nafasi au cheo ni dhamana tu? Kwa wengine wanajitutumua...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu anayeweza kunikopesha kwa kuweka dhamana ya camera

    Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi zake mbili, mic na charger. Nitakopa kwa muda wa siku 15 au 20 tu kwa riba tutakayokubaliana. Nipo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ualbino sio ulemavu bali ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu. Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi. Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
  11. JamiiForums Tanzania Unahitajika mkopo wa Tsh 5 mil. Dhamana ni nyumba

    Habari za mida hii wakubwa? Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie. Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo). Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote...
  12. JamiiForums Tanzania Mikopo ya dhamana ya kadi ya bank

    Naomba kufahamishwa Kama nimeshindwa kulipa mkopo ambao dhamana yake ulikuwa ni kadi ya bank... Kisheria inakuaje??
  13. JamiiForums Tanzania Ethiopia yamuachia Jenerali Mamo kwa dhamana

    Aliyekuwa Jenerali wa jeshi la Ethiopia ambaye alikamatwa katika oparesheni ya kutekeleza sheria, mnamo mwezi uliopita, kwa kuwa polisi walimshuku kwa kujaribu kutengua utaratibu wa kikatiba nchini humo, ameachiliwa kwa dhamana. Jenerali Teferra alikuwa kamanda wa kikosi maalum cha Amhara...
  14. JamiiForums Tanzania Malezk: usimuwekee dhamana mtoto wako

    Baadhi ya wazazi out of love or foolishness wanamuamini mtoto undoubtably wakimchukulia kama malaika mtoto hadi kufikia hatua ya kutokuamini baadhi ya makosa yanayoripotiwa juu ya mtoto au hatua ya kutofikiri kwambaa huenda mtoto ana abc ambazo si njema. Kuna muda yule mtoto anaeonekana ni...
  15. JamiiForums Tanzania Haki ya Dhamana kwa Mtuhumiwa na maana yake

    Dhamana ni haki inayopata msingi wake katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 ambayo ina dhana inayotamka kwamba mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi yake, Ibara ya 13(6) (b). Ili kuzingatia dhana hii ni muhimu kumruhusu mtuhumiwa kwa kumpa dhamana...
  16. JamiiForums Tanzania Matangazo ya Kamari kwenye radio zetu: Waziri mwenye dhamana chukua hatua

    Habari za muda wadau. Mimi ni mdau na msikilizaji wa hizi radio za masafa marefu fm radios Nasikiliza baadhi ya vipindi kwani vipindi vyao vingi havina maudhui niyapendayo ya habari. Utafiti wangu nimegundua kwamba katika vipindi hivi vichache ninavyosikiliza matangazo ya KAMARI NI MENGI SANA...
  17. JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
  18. JamiiForums Tanzania January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

    Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini. Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Waliopewa dhamana ya kutunza mikataba ya Siri ya rasilimali za nchi wamenyimwa dhamana yakushiriki majadiliano kabla ya mikataba

    Tanzania ni nchi pekee ambayo wanaotunza nyaraka za mikataba nyeti ya rasilimali za nchi siyo sehemu ya majadiliano na uandishi wa mikataba hiyo. Hivyo waliopewa dhamana ya kuhifadhi nyaraka hizi wamevaa nafsi ya uadilifu lakini wanachohifadhi hakina uadilifu. Kwa mantiki nyingine mahali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…