Anaandika mwanadada Nicole Joy Berry kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Habari, Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote wenye Nia njema nami. Naomba sana Taarifa za MICHANGO YA FEDHA kwa Nia ya kunisaidia kivyovyote ZIPUUZWE!
Mimi nina ndugu, marafiki na watu wa karibu ambao...