desturi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kulingana na desturi yako unasherehekeaje Mwaka mpya 2026?

    Kila ifikapo tarehe 31 Desemba, sherehe za Mwaka Mpya hufanyika sehemu mbalimbali duniani usiku kwa nyakati tofauti, kutokana na tofauti za saa kati ya nchi na nchi. Baadhi ya tamaduni pia husherehekea Mwaka Mpya kwa wakati tofauti na tarehe 31 Desemba, kwa sababu hutumia kalenda tofauti. Kwa...
  2. M

    PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  3. Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  4. H

    Tarehe 15.5 iwe siku ya kuadhimisha MILA na DESTURI kwa nchi za Afrika!!

    Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa nchi zetu. Urithi uliorithiwa kutoka kwa mababu zetu ni ngome yetu. Natumai kwamba kupitia sherehe...
  5. Msimamo wa Serikali yetu kuhusu azimio la bunge la EU. Mila na desturi za Tanzania ni zipi? Hatukubaliani na Mila potofu kama utekaji, uuaji na umungu

    MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
  6. Mambo 8 Ambayo Huenda Hukuyajua Kuhusu Mila na Desturi za Jamii ya Wamaasai

    Wamaasai ni kabila la Wanailoti wanaoishi Kaskazini, Kati na Kusini mwa Kenya na Kaskazini mwa Tanzania. Wao ni miongoni mwa wenyeji wanaojulikana zaidi kimataifa kutokana na makazi yao karibu na mbuga nyingi za wanyama za Maziwa Makuu ya Afrika, na mila na mavazi yao tofauti. Wamaasai...
  7. Kurejesha Mila na Desturi za Tanzania Katika Karne ya Digitali

    Je, Tunaweza Kuweka Utamaduni Wetu hai
  8. Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  9. Je unazungumziaje desturi ya kurudi nyumbani(mkoani) kukusanyika mwisho wa mwaka

    Kuna huu utaratibu wa kila mwaka watu tunarudi vijijini kukusanyika na ndugu na jamaa je ni utamaduni mzuri maana kwasasa maisha yanabadilika kuna wengine kipindi hicho ndio kipindi cha kukaa na familia zao mapumziko maeneo ya kisasa
  10. S

    Tupunguze desturi ya kuongelea maisha ya watu

    Muda mwingi niko home kuna mafundi wanaendelea na ujenzi tangu july nimegundua kitu Hawa jamaa ni wanaume lakini wanavyongelea maisha ya watu wananishangaza Muda mwingine niko ndani hawajui kama niko ni mwendo wa umbeya. hadi mimi humo ndani najadiliwa Kidogo watamix na story za mpira ila...
  11. Mambo yamebadilika sana, tusipokuwa makini yatabadili kabisa tamaduni zetu za kiafrika

    Jamani, hapo kabla sikuwahi kusikia haya mambo. Na kama yalikuwepo basi ni wachache sana. Ila kwa sasa hata ndugu zangu akina muraa, nao wanamezwa na mabadiliko. Mwanaume kumtegemea zaidi mwanamke atafute kipato cha kulisha familia, kwa sasa imekuwa kawaida kabisa Mtoto wa kiume kukaa nyumbani...
  12. Q

    Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  13. Waafrika, kumbukeni Mila na Desturi zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  14. Waafrika, Kumbukeni Mila na Desturi Zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  15. Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine. ======================== Muslim refugees heading...
  16. S

    Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

    Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini. Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki. Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yaani blah blah kibao. Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikuwa...
  17. Kuna makabila yana mila na desturi ngumu sana

    Kabila la Hamer na desturi ngumu Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
  18. Demokrasia ni zao la mila na desturi ya kuvumiliana, subra na ushupavu

    Ili kuishi comfortably kwenye mazingira ya kidemokrasia, ni sharti uwe mwenye uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu maana halisi ya demokrasia yenyewe. Zaidi sana yafaa, ufanye mazoezi ya mara kwa mara na ya kutosha, ya kushinda ama kushindwa si tu uchaguzi pekeyake, bali pia hata yale yenye...
  19. L

    Mikutano miwili ya China yaendeleza desturi za uwakilishi na utulivu

    Kipindi cha mikutano miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China na mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China iliyomalizika hivi karibuni, ni kipindi muhimu zaidi kisiasa kwa China, kwani katika kipindi hili, kwanza demokrasia ya China huwa inapimwa na kukaguliwa, na pili...
  20. G

    Kukosa desturi ya kuandika Urithi na Wosia na kutowajulisha/husisha watoto kwenye biashara/mali unazomiliki kumesababisha matatizo mengi

    Mtu ni magonjwa na kashafika 60 cha ajabu hajaandaa Wosia wowote wala kuandika Urithi, anaacha kivumbi na kutoelewana pindi akifa. Mtu hawajulishi watoto wake kwamba ana mali fulani, matokeo yake kuna wapangaji wanaweza kujimilikisha nyumba ambazo hawajajenga, watu wanajimilikisha mashamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…