Ligi kubwa duniani kama English Premier League (EPL) na LaLiga hazijawahi kuogopa sekta ya betting wala kuweka wazi kuwa Shirikisho la soka la FA litatafuta kampuni moja pekee kwa ajili ya michezo ya Manchester United dhidi ya Manchester City au Arsenal dhidi ya Tottenham Hotspur. Badala yake...
Mara ya 6 mfululizo simba anakaa hata yanga ya bakuli hawakuwahi kupigwa Mara 6 consecutively
Huwezi ukaacha kusajili top players halafu ukategemea propaganda ilianza pira bovu simba day tukasema Mara oh ni reserve kwa ajili ya tar 16 na mbinu ndo hizi
Huyu kante ndo alikua anaimbwa na ndo...
Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu.
Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo.
Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani...
Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri.
Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed.
Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC...
Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu
Kwenye hali kama hizi wasanii...
Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya!
Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25!
Sasa viongozi wao...
Wakuu,
Kutoka ndani ya vyanzo vyangu vya habari na watu nyeti waliopo ndani ya bodi ya league kuu ya Tanzania wamenipenyezea taarifa kuwa derby hiyo haichezwi tarehe 15june 2025 badala yake itasogezwa mbele.
au mchezo huo utafutwa kabisa.
tukae kwa kutulia
Mnyukano ni mkali sana.
Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga.
Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
HABARINI ZA ASUBUHI WANAJAMVI.
Naomba tushirikishane mambo machache kuhusu hali iliyopo kwa sasa kuhusiana na suala la derby ya kariakoo.
Je hali hii endelevu ya sintofahamu iliyopo baina ya TFF, TPLB, SIMBA SC pamoja na YOUNG AFRICANS SC ni mpango maalumu wenye mlengo wa kisiasa kwa ajili ya...
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni kujiuzuru kwa Mwenyeketi wa bodi ya ligi, kujihuzuru kwa Afisa Mtendaji mkuu wa TPBL, Katibu mkuu wa TFF na...
Mnamo 07/03/2025 mida ya saa 6 usiku klabu ya simba kupitia Idara ya habari ichapisha na kusambaza habari za kutoshiriki mchezo wa ligi ambapo ulipaswa kucheza keshi yake(08/03/2025) watu wengi tulipigwa na butwaa kwa maamuzi haya ambayo yaliipa hasara timu ya Yanga kutokana na maandalizi ndani...
Bodi ha Ligi imetoa ratiba za viporo vilivyobaki, huku ikifanyia pia marekebisho ya tarehe kwa baadhi ya michezo.
Jambo kubwa zaidi ni kuwa derby ya Kariakoo bado ipo palepale, itapigwa Juni 15, 2025, saa 11:00 Jioni uwanja wa Benjamin Mkapa.
Hii inajiri masaa machache baada ya Klabu ya Yanga...
Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias:
Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March
Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
MAONI YANGU JUU YA KUAHIRISHWA KWA MECHI YA WATANI WA JADI KATI YA YANGA DHIDI YA SIMBA MAARUFU KAMA KARIAKOO DERBY YA TAR. 8/03/2025
Naanza kwa kuwasalimia wadau na wapenzi wa soka.
Naomba nieleweke kwamba ninaandika makala hii nikiwa nimeweka ushabiki wangu pembeni.
Iko hivi, yaliyotokea...
Wakuu
Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani?
Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo?
Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
ahmed ally
ali kamwe
ally kamwe
derby march 8
derbyyakariakoo
habari
jumamosi
kamwe
kamwe afungiwa
kufungiwa
kutaka
simba na yanga
soka la bongo
ujinga
Mdau mkubwa wa michezo nchini na Mwanachama wa Klabu ya Simba, Mzee Azim Dewji amefunguka kuhusu waamuzi ambao watachezesha Dabi ya Kariakoo.
Wakati huo huo, kamati ya Waamuzi nchini inemtangaza Ahmed Arajiga kuwa ndio mwamuzi wa mchezo wa tarahe 8 pale Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba...
Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba ni moja ya mechi kubwa zaidi nchini, ikijaa ushindani ndani ya uwanja na tambo kutoka kwa mashabiki wa timu hizo mbili za mtaa wa Kariakoo.
Hapa ni nyota wa kutazama kwenye derby hii.
Kibu Denis
Tangu ajiunge na Simba, Kibu amekuwa mwiba hasa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.