denmark

Denmark (Danish: Danmark, pronounced [ˈtænmɑk] (listen)), officially the Kingdom of Denmark, is a Nordic country in Northern Europe. Denmark proper, which is the southernmost of the Scandinavian countries, consists of a peninsula, Jutland, and an archipelago of 443 named islands, with the largest being Zealand, Funen and the North Jutlandic Island. The islands are characterised by flat, arable land and sandy coasts, low elevation and a temperate climate. Denmark lies southwest of Sweden and south of Norway, and is bordered to the south by Germany. The Kingdom of Denmark is constitutionally a unitary state comprising Denmark proper and the two autonomous territories in the North Atlantic Ocean: the Faroe Islands and Greenland. Denmark has a total area of 42,943 km2 (16,580 sq mi) as of 2020, and the total area including Greenland and the Faroe Islands is 2,210,579 km2 (853,509 sq mi). Denmark proper has a population of 5.85 million (as of 2021), of which 800,000 live in the capital and largest city Copenhagen.The unified kingdom of Denmark emerged in the 8th century as a proficient seafaring nation in the struggle for control of the Baltic Sea. Denmark, Sweden, and Norway were ruled together under one sovereign ruler in the Kalmar Union, established in 1397 and ending with Swedish secession in 1523. The areas of Denmark and Norway remained under the same monarch until 1814, Denmark–Norway. Beginning in the 17th century, there were several devastating wars with the Swedish Empire, ending with large cessions of territory to Sweden. After the Napoleonic Wars, Norway was ceded to Sweden, while Denmark kept the Faroe Islands, Greenland, and Iceland. In the 19th century there was a surge of nationalist movements, which were defeated in the First Schleswig War. After the Second Schleswig War in 1864, Denmark lost the Duchy of Schleswig to Prussia. Denmark remained neutral during World War I; however, in 1920 the northern half of Schleswig became Danish again. In April 1940, a German invasion saw brief military skirmishes while the Danish resistance movement was active from 1943 until the German surrender in May 1945. An industrialised exporter of agricultural produce in the second half of the 19th century, Denmark introduced social and labour-market reforms in the early 20th century that created the basis for the present welfare state model with a highly developed mixed economy.
The Constitution of Denmark was signed on 5 June 1849, ending the absolute monarchy, which had begun in 1660. It establishes a constitutional monarchy organised as a parliamentary democracy. The government and national parliament are seated in Copenhagen, the nation's capital, largest city, and main commercial centre. Denmark exercises hegemonic influence in the Danish Realm, devolving powers to handle internal affairs. Home rule was established in the Faroe Islands
in 1948; in Greenland home rule was established in 1979 and further autonomy in 2009. Denmark became a member of the European Economic Community (now the EU) in 1973, but negotiated certain opt-outs; it retains its own currency, the krone.
A developed country, Danes enjoy a high standard of living and the country ranks highly in some metrics of national performance, including education, health care, protection of civil liberties, democratic governance and LGBT equality. It is among the founding members of NATO, the Nordic Council, the OECD, OSCE, and the United Nations; it is also part of the Schengen Area. Denmark also has close ties to its Scandinavian neighbours linguistically, with the Danish language being partially mutually intelligible with both Norwegian and Swedish.

View More On Wikipedia.org
  1. 6 Pack

    Trump aipiga mkwara Greenland (Denmark) na NATO kuhusu vita ya Iran. Iran yasema safari hii itailinda NATO

    Niaje waungwana Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani. Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
  2. Big Nyota

    Natafuta connection ya kwenda kufanya kazi nchi za Ulaya kama(Germany, Denmark, Norway Sweden, Finland au Australia)

    Wakuu wasalaam!! Bila kuwapotezea muda kama kichwa kinavyojieleza Mimi ni kijana mpambanaji ambaye nina uchu na mafanikio, mpaka nimefikia kuleta Uzi humu Nina Nia ya kwenda kutafuta maisha huko Ulaya. Mpaka kufikia uamuzi huo ni kwa sababu ya changamoto ya ugumu wa Maisha hapa nchini, Sasa...
  3. Fascinating

    Greenland Yapendekeza Mazungumzo ya Moja kwa Moja na Marekani Bila Denmark

    Hali ya kidiplomasia katika eneo la Arctic imezidi kupamba moto baada ya Greenland kupendekeza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mustakabali wake. Hatua hii inakuja huku Washington ikiendelea kusisitiza nia yake ya kutaka kuidhibiti ardhi hiyo ambayo kwa sasa iko chini ya...
  4. R

    Denmark yaagiza wanajeshi wake kushambulia moja kwa moja bila kusubiri amri endapo Greenland itavamiwa na Marekani

    Wizara ya Ulinzi ya Denmark imesema wanajeshi wa nchi hiyo wana wajibu wa kufyatua risasi na kushambulia moja moja, hata bila kupata amri kutakuwa na jaribio lolote la kuivamia Greenland kwa nguvu. Kauli hiyo imetolewa wakati Marekani ikitajwa kufikiria hatua za kijeshi kuiteka au kuiunganisha...
  5. R

    Serikali ya Trump kuwalipa wakazi wa Greenland $100,000 ili kujitenga na Denmark na kujiunga na Marekani

    Kwa mujibu wa chombo cha habari cha kimataifa Reuters, Serikali ya Rais Donald Trump inadaiwa kufikiria kutoa malipo ya maelfu ya dola kwa kila mkazi wa Greenland kama sehemu ya mpango wa kuishawishi eneo hilo kujitenga na Denmark na kujiunga na Marekani. Maafisa wa Marekani wameripotiwa...
  6. A

    Balozi za nchi za Nordic (Denmark, Sweden, Norway na Finland) zatuma ujumbe kuhusu mauaji katika uchaguzi

    Balozi za nchi za Nordic zimetuma jumbe tofauti kwenye kurasa zao za Instagram kuhusu mauaji yaliyofanyika katika uchaguzi wa tarehe 29. Ubalozi wa Finland unatoa rambirambi zake za dhati kwa wote waliopoteza wapendwa wao na kwa wale walioathiriwa na matukio ya hivi karibuni baada ya uchaguzi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiAfrica (Tanzania), IMS (Denmark) na Splice Media (Singapore) waja na “The Good Commons”

    Good Commons imejitolea kukusanya euro milioni 1.5 kusaidia jamii mbalimbali duniani ambazo zinaunda upya namna teknolojia inavyohudumia umma. Tofauti na kampuni kubwa za teknolojia na mifumo mikubwa ya akili bandia (AI) inayojengwa kwa misingi ya ufuatiliaji wa watumiaji na faida, jamii hizi...
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 Ubalozi wa Denmark watoa pole kwa waliopoteza wapendwa wao wakati wa uchaguzi mkuu 2025

    Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetuma salamu za pole kwa familia na jamii kwa ujumla ambazo zimepoteza wapendwa wao kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi. Kupitia taarifa iliyotolewa leo, ubalozi huo umeeleza kuwa unaenzi maisha ya wote waliotangulia mbele ya haki, pamoja na...
  9. Yoda

    Turekebishe muungano wa Tanganyika na Zanzibar uwe kama wa Denmark na Greenland

    Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na...
  10. Kingsmann

    Miaka 10 ijayo, Wapakistani watakuwa wengi nchini Denmark kushinda Wadenmark wenyewe

    Hiyo yote inasababishwa na Wapakistani kuzaa watoto wengi zaidi kushinda Wadenmark wazawa. Wakati Wadenmark wanazaa mtoto 1 au 2, Wapakistani wao wanafyatua kuanzia 5 na kuendelea. "We have 5 children while you have 1 or 2. In 10 years, there will be more Pakistanis than Danes here. There...
  11. mrangi

    Denmark 1850

    Wenzetu wametoka mbali Na ukiwangalia sahvi walivyopiga hatua,just imagine Hapo ni odense mji wa tatu kwa ukubwa Denmark old century 1850 walikuwa wanaishi hivyo,ila wenzetu wanajuwa kutunza historia Ova Black Sniper Mshana Jr
  12. W

    Wananchi wengi wa Denmark huendesha baiskeli ili kuepuka foleni na msongamano kwenye mabasi. Watu 9 kati ya 10 wanamiliki baiskeli nchini humo

    Watu wengi nchini Denmark, hasa wanaoishi mijini, wanapenda sana baiskeli zao. Hufanya hivi ili kupata uhuru binafsi ambao unawapa fursa ya kuingia na kutoka kwenye msongamano wa magari mjini. Ukiwa kwenye baiskeli, huhitaji kusubiri kwa muda mrefu. Huhitaji pia kungoja basi lifike au kuingia...
  13. W

    Nchini Denmark watu huzoeshwa kutumia usafiri wa baiskeli kuanzia utotoni

    Nchini Denmark, watoto hujifunza kuendesha baiskeli wakiwa na umri wa takriban miaka 3. Baiskeli hizo huwa na magurudumu ya mafunzo hadi atakapoweza kushikilia usawa wake. Kisha, wanapokuwa tayari kwenda shule, huendesha baiskeli hadi huko. Ni njia rahisi na salama ya kusafiri - na Wadenmaki...
  14. W

    Je, wajua kuwa kisiwa kikubwa zaidi duniani kinapatikana Denmark?

    Greenland ni kisiwa kikubwa zaidi duniani, ikiwa ni sehemu yenye mamlaka ndani ya Ufalme wa Denmark, ikiwa na wakazi wapatao 56,000. Greenland ina eneo la kilomita za mraba milioni 2.2, huku uchumi wake ukitegemea sana sekta ya uvuvi, ambayo inachangia zaidi ya asilimia 90 ya mauzo ya nje ya...
  15. Mtuache

    Haitakaa itokee Afrika ipate Papa Mweusi

    Baadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo? Africa kuwa na papa mweusi hiyo kamwe haitakaa ije kutokea. Hata kama dunia itatupa bonus ya kuishi miaka elf moja. Ukweli ni kwamba...
  16. Ojuolegbha

    Tanzania yashiriki kikamilifu mkutano wa mazingira duniani nchini Denmark

    TANZANIA YASHIRIKI KIKAMILIFU MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI NCHINI DENMARK Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denmark...
  17. Ojuolegbha

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  18. S

    Kama Trump, kwa ubabe tu, anadai aichukue Greenland ya Denmark, anaweza kudai aichukue Zanzibar ya Tanzania. Hilo lazima litazamwe

    Hakuna wakati nime-appreciate uwezo wa kuona mbali wa Julius Nyerere kama wakati huu. Huko nyuma nchi kama USA na Russia waliomba waweke vituo vya kijeshi Tanzania na Nyerere alikataa katakata, sababu mojawapo akitambua kuwa katika sias nchi rafiki leo inaweza kuwa nchi adui kesho. Sasa fikiria...
  19. D

    Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Hizi ndio "Prison Cells" za Ujerumani na Denmark.. =========== Shikamoo Wazungu..
  20. U

    Marekani haijaanza leo kutamani kununua kisiwa cha Greenland, mwaka 1946 Marekani ilitoa dolla millioni 100 kwa Denmark ili kununua kisiwa hicho

    Wadau hamjamboni nyote? Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes. Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland. Pia Marekani imewahi kutaka kukinunua kisiwa cha Greenland mara kadhaa katika miaka ya 1867, 1910, 1946, 2019 na...
Back
Top Bottom