deni la taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Foffana

    Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

    Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
  2. Analogia Malenga

    Namibia yatoa somo la nidhamu ya fedha. Je, wamejiandaa na changamoto za kuathiri akiba ya fedha za kigeni?

    Namibia imekuwa mfano kwa jinsi nchi inavyoweza kuonyesha nidhamu ya kifedha kwa vitendo. Hatua ya hivi karibuni ya serikali ya Namibia kulipa deni la Eurobond lenye thamani ya dola milioni 750 imeweka rekodi kama ulipaji mkubwa zaidi wa deni katika historia ya taifa hilo. Kwa hatua hiyo...
  3. Traxtion

    Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT🇹🇿)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
  4. R

    Rostam ni mtu mwema sana, kama uliweza kufadhili Royale Tour, tulipie na deni la Taifa Trilioni 116 tafadhali

    Salaam! Tulipata msiba wa kufiwa na baba yetu, kiongozi wa shamba letu, Hata hatujapoa, akaibuka kibopa,tajiri mmoja mkarimu sana mwenye tabasamu la Mamba Rost Tamu,akaipenda familia yetu, akaahidi kutupenda Sisi na mama etu bila kutubagua. Aliweza kummsaidia sana mfiwa mamaetu kwa kumpeleka...
  5. OLS

    Tukizingatia Exchange, deni la taifa ilibidi lipungue

    Deni la Taifa kwa sasa limepanda kutoka Trilioni 108 mwezi Mei hadi trilioni 116 Mwezi Agost. Hili ni ongezeko la 7.41% ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Deni hili linaweza kunasibishwa na taarifa kuwa exchange rate imezingua, lakini ieleweke kuwa thamani ya shilingi imeimarika kuanzia mwezi...
  6. R

    Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Salaam! Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu. Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
  7. M

    Siku si nyingi, huwenda ni ndani ya utawala huu, makusanyo yote ya TRA yatakuwa yakilipa deni la taifa peke yake

    Buriani Jobu Ndugai Deni T 116..? Maono yako juu ya nchi yetu, ni kweli na sasa karibu tunaanza kuyaishi Deni la Taifa linatishia uhai wa nchi yetu, Wakati tukielekea Uchaguzi magumashi, kila pembe ya nchi yangu, wabunge, mawaziri na wanaojitokeza kwenye vyombo mbalimbali vya habari, wote...
  8. didy muhenga

    Tanzania: Deni la Taifa lafikia trilion 116

    Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia...
  9. R

    Kwa ile michango ya CCM jana, Nimegundua inawezekana kuwa na Harambee CCM kulipa deni la Taifa (Deni la Taifa Gala Dinner)

    Wakuu wa JF, Hawa ndugu zake Lucas Mwashambwa walipe tu deni la Taifa wenyewe Kwa namna ambavyo jana mawaziri, wafanyabishara na makundi mbalimbali ya CCM walivyokua wanataja kiasi cha fedha kwa ajili ya Michango ya kampeni za uchaguzi, nimewaza kuhusu Uongozi wa CCM ulivyochangia kuongezeka...
  10. Carlos The Jackal

    Deni la Taifa Kupaa, Kunyimwa Mikopo na Ulaya, ilikua ni ngumu sana Kuacha Watanzania Waishi kama Manyani 2026-2030

    Deni lake almaarufu Deni la Mama , baada ya Sauti za Watanzania kua nyingi dhidi yake ,ameshtuka. Ukandamizaji wa Demokrasia, huku Taifa likishuhudia Utekaji, na Mauaji Kwa Idadi ambayo haijawahi shuhudia tangu Uhuru wa Tanganyika . Akaenda Mbali sana Kukandamiza Chama Kikuu Cha Upinzani na...
  11. Ex Spy

    Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  12. The Zanzibar Echo

    Tunakoelekea itafikia hatua ya Watanzania watembea kwa miguu barabara ya lami kulipa kodi ili tulipe deni la taifa

    Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote. Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha matangazo katika mitandao ya kijamii kama Instagram wanawapa siku 30 ili kuweza kujisajili na...
  13. Carlos The Jackal

    Alipoona Wananchi wanaponda Deni la Taifa 107 T, akaja na janja za Marekani na Ulaya hawafanyi vizuri Uchumi, Mara Mashariti huko nje yameongezeka!!

    Huyu Mama alikua anatuandaa kisaikolojia kuanzia mwaka 2026 tungeanza Kuishi kama Watumwa nchini kwetu. Kavuruga Mahusiano yote na Ulaya , Marekan , Safari za Ulaya Zimekata ghafla. Kwakujua alokua kaupanga kupitia Uchaguzi 2025 , alijua MIKOPO n MISAADA inaenda kusimama. Njia Pekee ikawa ni...
  14. M

    Kenya, Uganda zimezidiwa na Tanzania kwa uwezo wa kuhudumia deni la Taifa

    Mwaka 2024, kampuni maarufu na inayoheshimika kimataifa katika tathmini za kiuchumi na uwezo wa kulipa madeni — Moody’s wameitaja Tanzania katika nafasi ya juu zaidi ukilinganisha na majirani zake wa Afrika Mashariki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya karibuni, Tanzania imepewa daraja la B1...
  15. GenuineMan

    Deni la Taifa Hadi US ni Pasua Kichwa

    Wakati hapa bongo tukiwaza Deni letu tulitaje kwa usd au fedha za madafu. Huko US pia , Elon Musk, analalamika na deni lao.
  16. Dennis Robert Shughuru

    Njia nitakazotumia kupunguza deni la taifa

    Deni la Taifa limekua sana na kila mtu analalamika kivyake lengo la uzi sio kutupia lawama sehemu yeyote ile bali kuja na siluhisho Mimi nina mpango wa kuwa Rais wa Tanzania zifuatazo ni njia ntakazotumia Kupunguza ukuaji wa deni la Taifa Kupunguza kodi (mfano VAT asilimia, corporate tax...
  17. Mkalukungone Mwamba

    John Heche: Sisi CHADEMA tunaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini isiwe ndizo zinanua baiskeli

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema wao CHADEMA wanaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini au miradi gani imefanyiwa kazi kupitia fedha hizo, lakini isiwe ndizo zinanua baiskeli na kuwagiwa watu bure na mwisho wa siku Watanzania wanapata...
  18. B M F ICONIC

    Kwanini TSH inashuka dhidi ya Dollar/KSH, Exchange rate, Deni la Taifa?

    Wachumi mnakaribishwa kwa michango......... Tutatumia shiling ya kenya KSH, Dollar na TSh ili kupata uelewa wa jambo ili Tujue kwanini shilling ya nchi fulani ina nguvu kuliko nyingine, Exchange rate ya pesa nani uamuapia Deni la Taifa. Moja kwa moja kwenye Point. Tuanze kwa kujua mchakato...
  19. Mstahiki Mea

    Kupanda kwa Dollar kunavyoongeza Deni la Taifa

    Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa? Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari lakini ukweli nikwamba deni linakopwa kwa USD , na malipo yake hufanyika kwa fedha hiyo hiyo . Sasa...
Back
Top Bottom