Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.
Dunia Inazama Kwenye Bahari ya Madeni
Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa deni la dunia sasa limefikia takribani dola za Kimarekani trilioni 338 — kiwango kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya uchumi wa dunia. Deni hili linahusisha mikopo ya serikali, kampuni binafsi pamoja na...
Muda si mrefu napokea simu kutoka kwa relative yangu mmoja,
Kisa chake alivyonisimulia kiko hivi. Ameenda benk, anataka aombe mkopo (basically kufanya top up).
Ila ana mkopo mwingin benk ya NMB.
Sasa huko akaambiwa kwenye mfumo kuna deni la milioni 3 NMB.
Alipoenda NMB napo wanaangalia...
Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa.
Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri.
Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
Luhaga mpina aliposema kuwa watu wa Kisesa bado wanamdai Samia Suluhu Hassan maendeleo, baadhi ya wana CCM walilipuka kwa hasira mithili ya Volkano.
Kama wana CCM waliamini kuwa Samia Suluhu Hassan Hana deni la kuleta maendeleo Kwa watanzania nchi nzima, Kwa miaka mitano hijayo akiwa Rais ...
Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali.
Tume ya ushindani ikipitisha...
Habari za wakati huu;
ni muda mrefu tangu niliposhiriki mijadala hapa jukwaani.Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo sababu za mbalimbali ikiwemo za binafsi na za ujumla.Hata hivyo leo nimewiwa kurejea na kuleta muendelezo wa mijadala yetu ya biashara na ujasiriamali nikiamini kwamba kuna...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty.
Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu.
Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025
1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024)
2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024)
3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024)
4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024)
5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi.
Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa:
Trafiki: RTOC
Parking:
Parking
Deni la Taifa kwa sasa limepanda kutoka Trilioni 108 mwezi Mei hadi trilioni 116 Mwezi Agost. Hili ni ongezeko la 7.41% ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Deni hili linaweza kunasibishwa na taarifa kuwa exchange rate imezingua, lakini ieleweke kuwa thamani ya shilingi imeimarika kuanzia mwezi...
Salaam!
Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu.
Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia...
Deni la Marekani Limefikia Zaidi ya Dola Trilioni 37 kwa Mara ya Kwanza Maishani Hapa ikiwa na maana kwamba Deni limekua kubwa mara dufu kuliko Uchumi wao wa Dolla T 30.
Unaweza jifunza jambo hapa kwamba Unacho tangaziwa kuhusu Uchumi wa Marekani si halisia, Ni ajabu kwa taifa kama la Marekani...
Nilifanya biashara alafu NIKAACHA, almost five years ago
Sasa nataka kupata tax clearance certificate haraka ikiwezekana nikwepe ILO deni
Je vishoka wanaweza kunisaidia
Kama walivyo nisaidia kupata leseni ndani ya siku moja licha ya kuwa Nina mkono mmoja 😁
Habari wana JF
Leo nipende kutoa uzi unaohusiana na maswala ya kifedha katika taifa hili la TANZANIA.
Ikumbukwe tangu aondoke mwendazake,deni la taifa lilikuta takribani trillion 8.2 tangu aachiwe kijiti na mkwere ambapo lilikuwa ni trillioni 35.
Ok tusirudi nyuma sana,ni vyema tuanzie hapa...
|||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi...
Nilijua tu kauli ya mama hana deni itakuja kuwatafuna watu fulani fulani, Sera hazinadiki tena
Wanaulizwa maswali wasiyoweza kuyajibu?
Wengine wanaahidi kuleta barabara katika maeneo yao ilihali walituaminisha barabara zipo za kutosha.
Mwingine kaahidi zahanati watu wakamuachia ukumbi.
Mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.