demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Kama Rais anajibiwa, kukosolewa na wakati mwingine kubagazwa Mwacheni Mzee Warioba naye apewe dozi. Demokrasia hiyo. Inahitaji uvumilivu.

    Hamjambo wote! 1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea. 2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI. 3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makame: Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi kikatiba, haruhusiwi mtu yeyote kusema hakuna uchaguzi

    Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), akizungumza katika kipindi cha Medani za siasa amesema Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi vya siasa kwa mujibu wa Katiba hivyo hakuna anayeweza kwenda kinyume nalo akisisitiza haruhusiwi mtu yeyote...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono pm mwigulu, haki bila wajibu ni uasi uliovalishwa suti ya Demokrasia

    Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninasema bila woga: mjadala wa “haki” unaoendelea hivi sasa si mjadala wa haki—ni jaribio la makusudi la kuyumbisha misingi ya Taifa kwa kutumia lugha tamu ya kisiasa. Kauli ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, aliyotoa Bunju B tarehe 29 Desemba 2025, imegonga...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Masoud: Siasa za misimamo mikali hazijengi demokrasia

    Watanzania wametakiwa kuwakataa wale wote wanaohamasisha au kuunga mkono mikakati inayolenga kuingiza nchi kwenye machafuko, vurugu au migawanyiko ya kisiasa. Hayo yamebainishwa na kijana mjasiriamali na mdau wa masula ya siasa nchini, Masoud Mambo wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  5. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya kisiasa na ukombozi wa kifikra katika demokrasia, nguvu ya wananchi na mtego wa mfumo

    Utangulizi: Demokrasia kama Imani, Sio Ukweli Katika Tanzania na Afrika kwa ujumla, Demokrasia imegeuzwa kuwa imani ya kisiasa isiyoruhusu kuhojiwa. Ukiongea dhidi yake, unaitwa adui wa maendeleo, dikteta, au mtu anayechukia haki za binadamu. Lakini historia na uhalisia vinaonyesha kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

    Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu? Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
  7. JamiiForums Tanzania Udikteta uharibu uchumi demokrasia huleta ubunifu na maendeleo

    Jamii nyingi zilizoendelea Duniani huwa na aina Fulani ya demokrasia. Na jamii nyingi maskini Duniani hujawa na mfumo wa kidikteta. Mifumo ya kidikteta huzaa viongozi walafi, katili na wasiowekeza kwenye jamii zao zaidi ya kuwekeza kwenye familia zao. Marekani kwa sasa wana kiongozi dikteta...
  8. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za Viongozi, Taasisi za Serikali zinazozuia watu kutumia Uhuru wao wa demokrasia nao wapelekwe ICC

    Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia. Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
  9. JamiiForums Tanzania Tuisusie META na platforms zake. Wanashirikiana na Samia kuminya demokrasia

    Ndugu Watanzania, Wakenya, Waganda na Waafrika wenzangu Kitendo cha kampuni ya META kushirikiana na serikali ya Samia kuminya uhuru wa maoni na kuzuia umma na dunia kufahamu matukio ya mauaji ya kutisha kuanzia Oktoba 29 na kuendelea, ni ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa maoni na haki ya kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Mapinduzi huzaa mapinduzi sio Demokrasia

    Historia hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua" Katika mapambano ya kujenga nchi, mataifa mbalimbali yamepitia njia mbalimbali ikiwemo kufanya mapinduzi ya kijeshi mara nyingi pale...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina vita baridi wapenda demokrasia vs wana mtandao wa CCM

    Wakati nchi nyingine wananchi wanapigania uchumi Tanzania tumeingia kwenye janga la kupigania HAKI . Wapigania haki wamepata nguvu sana na haitaisha wanapigana na machawa na wana mitandao ambao wanataka rasilimali za nchi. Raisi Samia , Kikwete na genge la machawa wa CCM lipo upande huo...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania haina cha kujifunza uarabuni UAE katika demokrasia na uongozi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed walifanya mazungumzo na Spika wa Bunge la umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Saqr Bhogash katika ofisi za...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kenya, EU, USA, SA, Zambia, Malawi watusaidie kwenye kubadilisha madaraka Tanzania

    Kenya, EU, USA, SA, Zambia, Malawi watusaidie kwenye kubadilisha madaraka Tanzania. Tanzania tunahitaji wana demokrasia kutusaidia kuungana na zaidi ya 70%-80% wanaotaka mabadiliko ya uongozi na katiba kwa njia zote zinazowezekana. Ikishindikana kwa Aamani hata kwa kijeshi maana hata jeshini...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi wa 2025 Tanzania imeng'ara kwenye magazeti kama nchi ya mauaji na isiyo na demokrasia

    Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Ruto: Sisemi Tanzania hakuna demokrasia, lakini Kenya huwezi kushinda Uchaguzi kwa asilimia 96

    Hapa Ruto ni kama ametupa jiwe gizani hivi Yaani kapiga kwenye mshono alafu kajitetea
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Serikali ya Rais Samia imekosa uhalali wa kisiasa kuendelea kuongoza Tanzania, uchaguzi wa Oktoba 29 ni pigo kwa Demokrasia na taifa

    MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025 Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Siri ilyiojificha nyuma ya nafasi ya Kenya katika kuchochea machafuko nchini Tanzania chini ya kishawishi cha kupigania demokrasia

    Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya kidemokrasia ya nchi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Mamilioni ya Watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Obama: Tuache kujifanya tuna demokrasia na kujipa ushindi wa kimaajabu wa asilimia 90 huku ukifunga wapinzani na kuwazuia kwenye TV

    Wakuu, Hio ni Kauli ya Rais mstaafu wa Marekani Bwana Barack Obama akingumzia Demokasia mwaka 2018 alipokuwa Afrika kUsini. Imesambaa tena hasa baada ya taarifa za uchaguzi Ushindi wa kimaajabu wa Rais Samia kuenea duniani. "We have to stop pretending that countries that just hold an election...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo haya yafanyike ili kujipanga upya kwa Season 2 ya kudai haki na demokrasia ya kweli nchini

    Maandamano ya tarehe 29/10/2025 yalienda kinyume cha matarajio ila kuna upande yamefanikiwa. Sitaenda ndani sana kwenye uchambuzi huo kwa sasa ili naomba nielezee nini kifanyike kuanzia sasa ili nafasi nyingine ikipatikana iwe bora zaidi. 1. Ni muhimu kuwa na viongozi on the ground. Hawa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarime, Mara: Wananchi wawaambia wanajeshi - Sisi tunakemea utekaji, tunataka Demokrasia

    Hii imetokea leo Oktoba 30, 2025 huko Tarime mkoani Mara Sikiliza, angalia:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…