demokrasia

  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, ni kweli Mungu hana Demokrasia? Mbona alisema "Tufanye mtu kwa mfano wetu"

    Nauliza tu baada ya kumsikia RC Makonda akisema Mungu hana Demokrasia. Mwanzo 1:26 - Tufanye mtu kwa mfano wetu. Je, ni kweli? Nawatakia Dominica njema 🌹 ===== RC Makonda atahadharisha akuhusu walaghai wanaotumia neno la Mungu kurubuni wananchi Akizungumza na maelfu ya Wananchi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ruto kampa live Raisi Samia na demokrasia fake

    Ruto kampa live Samia kuhusu maandamano Niongezee hili la imani Mwanzo 9:6 BHND Share Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ruto: Kwenye demokrasia, Maandamano ni jambo la kawaida

    Hii clip inajieleza wazi: Tanzania itajifunza lini kuuhusu ukweli huu? Kwanini Kila mtu asipewe haki yake? Kwanini kujipanga kupora haki za wengine? Kulikoni kujipanga kuchuma laana? Uporaji ni laana!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, demokrasia kipindi hiki imekuwa zaidi kuliko huko nyuma, acha kujitoa ufahamu

    Nimekusikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu ukisema kwenye mkutano wa TCD kuhusu tathmini ya hali ya demokrasia nchini, ulieleza kwa takwimu kuwa wakati huu wa Rais Samia demokrasia imerudi sana nyuma kuliko wakati wa Magufuli. Wakili Msomi Tundu Lissu naona umejizima data. Kuna utofauti mkubwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

    Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo, Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu, Katika hayo tunampongeza sana...
  6. JamiiForums Tanzania Amani ni kubwa kuliko Utulivu, utulivu ni muhimu kuliko Demokrasia, na Demokrasia ni kubwa kuliko vyama vya siasa

    Tunahitaji amani sio utulivu, lakini ni heri ya utulivu kuliko demokrasia yenye vurungu, na bila kusahau kuwa demokrasia kwa watu hata wasiokuwa na vyama; ni zaidi ya vyama vya siasa kurahisishiwa kuwa viongozi na kwenda Ikulu. Amani: Ni kuwa na uhakika wa kuwaona wajukuu zako kutokana na...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbe raia kumtuhumu mtu kwa mauaji ni kosa la jinai pia!

    Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tulianza kuona matunda ya demokrasia katika nchi yetu lakini ghafla ule uimara haujawa endelevu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali amesema Katika kipindi kifupi ambacho tulishaanza kuona matunda ya demokrasia katika nchi yetu, kwamba kiwango kikubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  10. JamiiForums Tanzania Nimegundua demokrasia haikuundwa kwa ajili ya Mwafrika

    Mtu mweusi ni mkaidi sana. Mpe uhuru, ajipatie nafasi ya kubania wengine uhuru. Mpe mamlaka, ajipatie nafasi ya kutajirika haraka. Mwafrika katika harakati analalamika kuhusu njaa na tabu, akipata ugali, anawaita wenye njaa ni washamba na wavivu. Mwafrika hugeuza cheo kuwa kampuni, Mwafrika...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Conrad Masabo: Tulikosea tulipokabidhi umiliki wa demokrasia kwa vyama vya siasa badala ya umiliki huo kubaki kwa raia

    Mhadhiri wa sayansi ya siasa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Dk Conrad Masabo anasema demokrasia ya Tanzania iliharibiwa tangu mwaka 2016 kutokana na uamuzi uliofanywa na Watanzania kuamini mtu na sio utaratibu. “Tunachokipitia ni matokeo ya huo uamuzi wetu. Demokrasia kama haki nyingine...
  12. JamiiForums Tanzania Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimeipokea Demokrasia kwa hofu ya kuogopa kuumizwa kiuchumi na kisiasa. Demokrasia ni silaha ya kikoloni

    AFRO Centric view Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela. Kimsingi hakuna jambo jema katika dunia kama kuitunza tamaduni, ikiwa hutafanikiwa kuilinda tamaduni yako maana...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Mauaji ya Ali Kibao na vitendo vingine vya kikatili havipaswi kupewa nafasi katika demokrasia

    Marekani inaungana na wale wanaotoa wito wa uchunguzi huru, wa uwazi, na wa haraka kuhusu utekaji unaoendelea na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mauaji na kupotea kwa watu, pamoja na kukamatwa, kupigwa, na juhudi nyingine za kuwaengua raia katika uchaguzi zilizotokea mwezi uliopita, havipaswi kuwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mataifa ya Afrika yasiyozingatia masuala ya Demokrasia na Haki za Binadamu yanakimbilia zaidi China

    Mwanasiasa na Mchumi, Zitto Kabwe amesema kuwa Mataifa ya Kiafrika ambayo hayazingatii misingi ya kidemokrasia katika utawala ujifungamanisha zaidi na China kwa kuwa Taifa hilo halina utamaduni wa kuhoji juu ya masuala mbalimbali yanayofungamana na haki za binadamu. "China wanavyosaidia Nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Donald Trump: We hata kama hunipendi, nipigie tu kura

    Uwanja wa siasa nchini Marekani umezidi kuchangamka na hii ni baada ya mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, hivi karibuni kusema kuwa hata kama humpendi yeye kama yeye ni muhimu sana kumpigia kura. Trump aliyasema hayo kwenye jimbo la Pennsylvania huko nchini Marekani akiwa kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za chuki, kutokuaminiana na kutokuelewana kwa wapinzani nchini ni kwa faida ya nani kwenye ustawi wa Demokrasia ya Vyama vingi nchini?

    Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana.. Sawa, hawana nia, mipango, uelekeo, wala uewezo wa kushika dollar na kuunda Serikali, basi walau...
  20. JamiiForums Tanzania "Viongozi wa Juu wa CHADEMA Watoa Maoni Mseto Kuhusu Uongozi wa Rais Samia na Hatua za Kuimarisha Demokrasia Nchini"

    Freeman Mbowe:Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, amepongeza baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hasa katika kufungua anga la kisiasa na kuruhusu mazungumzo ya kitaifa. Mbowe ameonyesha matumaini kwamba Rais Samia anachukua hatua sahihi katika kurejesha uhuru wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…