demokrasia

  1. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama kuu yaamuru serikali kusitisha zoezi la wanajeshi kwenda mtaani kuzuia maandamo

    Mahakama Kuu yaiamuru serikali kusitisha mara moja zoezi lake la kupeleka wanaeshi mtaani ili kutuliza maandano. Hili limekuja baada ya Ikulu kutoa taarifa kuwa Rais Ruto amekataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Mahakama pia imeamuru Usalama wa Taifa Kenya pamoja na Polisi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), makamu wake akiwa ni Kiongozi wa Chama Cha ACTwazalendo, Dorothy Semu.
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania UVCCM Mwanza: Hakuna anayefaa kuwa Rais Tanzania zaidi ya Rais Samia

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha wauwa demokrasia kupewa kubali na ubunge ni ajabu!

    Yaani Dr Bashiru angetakiwa kufukuzwa kazi kwa kuhongo wabunge, kuuwa demokrasia ya nchi na mpaka leo nchi yetu inapata matatizo kwasababu yake
  5. R

    JamiiForums Tanzania DEMOKRASIA Kwa wajinga, wasiostaarabika, Wasiokuwa wazalendo yafaa nini?

    Salaam, Shalom!! Nauliza tu, Hawa waliotuletea DEMOKRASIA mataifa ambayo Bado tunajitafuta yalilenga nini? Mbona wao walipokuwa wanajenga Uchumi wao, miaka mingi iliyopita mbona waliotumia mijeredi? Yaani mtoto asiyetaka shule, mzazi ampe mtoto huyo DEMOKRASIA na uhuru Ili iweje? DEMOKRASIA...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UDSM (2020): Ubora Wa Maudhui ya Vyombo vya Habari Tanzania - UCHAGUZI MKUU 2020

    Ikiwa Uhuru utatishiwa, basi Demokrasia na Uchaguzi vyote vitaathirika, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, mazingira ya Vyombo vya Habari yalijipambanua kwa kufungiwa kabisa kufanya kazi, kuzuiwa kwa muda, kufutwa kwa leseni na kuporomoka mno katika vipimo vinavyoonesha viwango vya Uhuru wa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Samia ni muumini wa demokrasia aruhusu fomu zitolewe nyingi. Ili kujitofautisha na chadema.

    Ni ukweli usiopingika kuwa ccm imetengeneza udikteta wa kilkatili sana. Yaani inawalazimisha watu kutawaliwa kwa lazima na mtu ambaye hawana namna. Hata kama mna rirais la hovyohovyo maadamu tu halijamaliza miaka kumi hamuwezi kufurukuta, na ukizingatia kwamba katiba yetu na mifumo yetu...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia

    Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia Wahusika Wakuu 1.Amani Chawote- Mgombea urais wa chama cha Demokrasia kwa Kila Mtu (DKM) 2.Salama Mwita - Mgombea urais wa chama cha Umoja wa Wazalendo (UW) 3.Juma Kiboko - Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa 4.Nadia Juma...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kukuza demokrasia ya Tanzania nakuchochea mabadiliko ndani ya miaka5-25 ijayo

    1.Utangulizi Tanzania ni nchi inayo ongozwa na demokrasia.Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo mamlaka kuu ya serikali imewekwa Kwa watu. Mfano wa demokrasia,serikali yetu huchaguliwa na wananchi,hapa wananchi huwapigia kura viongozi wao wa serikali. MALENGO YA DEMOKRASIA. 1.Maadili ya uhuru...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya Kisiasa 2030

    Siasa ya Tanzania imekua katika mdidimio mkubwa kuanzia 2020 na sababu kubwa ni kutokuwa na Demokrasia ya kweli, wakati wananchi wakitaka mabadiliko na mfumo mzima wa uendeshahi nchi wanasiasa wa upinzani wamegeuka na kuwa wasaliti kwa wananchi na kurudi upande wa chama tawala. Wananchi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa wa CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo saa 5:00 asubuhi

    Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥 Ahsanteni.
  13. mwananyaso

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini mwenezi CCM, Makalla na Katibu Mkuu Nchimbi wamepooza sana kuelekea uchaguzi mkuu ujao?

    Hawa viongozi toka wameanza ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa kigezo cha faragha na kisayansi kwa kweli wamefeli pakubwa sana. Wametatua kero ngapi mpaka sasa, hakuna ushuhuda wa mafanikio ya ziara yao. Tutegemee kubumbwa kwa takwimu za mafanikio...
  14. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kukuza demokrasia ndani ya CCM, kila mwanachama ashiriki kuamua kwenye kura za maoni

    Anaandika Mo Mlimwengu. Kwanza nitoe pongezi kwa Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kuanzia kwa Mwenyekiti , watendaji wa chama pamoja na wanachama wote. Uimara wenu ndio unasababisha hadi leo hii CCM kinabaki kuwa chama tawala tangu tupate uhuru. Tumeishashuhudia vyama vingi kwa Afrika ambavyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuboresha demokrasia huru na haki katika siasa

    III Tanzania yetu kufikia nchi ya ahadi inahitaji kuimarika katika ngazi ya demokrasia huru na kupunguza vitendo vinavyochochea ubaguzi wa kisiasa katika nyanja mbalimbali kama vile; 1. Uchaguzi kuwa wa haki na kweli Viongozi wanaopatikana kwa Uchaguzi wanatakiwa kuwa wale walochaguliwa na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Demokrasia, Rushwa na ushiriki wa chama cha siasa kwenye serikali ya wanafunzi - kuna shida Mzumbe!

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro). Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na Katiba ya Serikali ya wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe haviruhusu Shughuli ama kufungamana na vyama vya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA Njombe wadaiwa kuvurugika

    CHADEMA wanaojiita watenda haki Leo uchaguzi wavurugika Njombe washindwa kufikia mwafaka kupata viongozi wanaowataka. --- Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ufanyike leo Mjini Njombe umevurugika tena baada kufuatia baadhi ya wanachama wa chama hicho kudai...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Eric Garcetti: Ni jambo la kufurahisha kuona Demokrasia kubwa zaidi duniani ikifanya kupitia uchaguzi wa India

    Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI): Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo. Akiwa mwangalizi kwa...
  19. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Taifa naomba uruhusu kuchapisha fomu nyingi za kugombea Urais ndani ya chama kukuza Demokrasia

    Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama! Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025, ninaamini katika kudra za mwenyezimungu kuhusu hatma Yako ya urais wa 2025 -2030 kuliko kulazimisha kama...
Back
Top Bottom