demokrasia

  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani kuanza kusitisha baadhi ya misaada kutaathiri Demokrasia katika nchi za ulimwengu wa tatu ikiwepo Tanzania?

    Mpo salama wote! Awamu ya pili ya Donald Trump imekuwa na Sera korofi kwa mataifa mengine. Sera ya isolation ni Sera ambayo nchi Fulani hujitenga na mataifa mengine na kufungia Fursa za kiuchumi ndani ya taifa husika. Tunajua kuwa Demokrasia ilianzia nchi za Ulaya hasahasa nchi ya Ugiriki...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamba: Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 “Sisi CCM...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wachina wengi wanaamini nchi yao ni ya kidemokrasia, Wamarekani wengi zaidi wanaamini nchi yao(US) sio demokrasia!

  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh yavamiwa na waandamanaji na kuchomwa moto

    Maelfu ya waandamanaji nchini Bangladesh walielekeza hasira zao kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Sheikh Hasina, aliyepinduliwa na kukimbilia uhamishoni, kwa kuvamia na kuharibu nyumba ya familia yake Jumatano, Februari 5, 2025. Nyumba hiyo, ambayo awali ilionekana kama ishara ya uhuru wa taifa hilo...
  6. Moaz

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu wa Demokrasia Katika Nchi za Dunia ya Tatu

    Nchi nyingi za Dunia ya Tatu, hasa barani Afrika, zimekuwa zikidai kuwa zinatumia mfumo wa kidemokrasia, lakini kiuhalisia demokrasia yao ni ya kivuli tu. Wananchi wanaambiwa kuwa wana uhuru wa kuchagua viongozi wao, lakini chaguzi nyingi huchezewa, taasisi za kidemokrasia huwekwa mfukoni mwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjadala: Demokrasia Yetu, Viongozi Wetu

    Wakuu, Tunapoukaribia Uchaguzi Mkuu 2025, ni muhimu kutathmini changamoto za chaguzi zilizopita (2015 na 2020) na kushirikiana katika kutafuta suluhisho Jiunge nasi kwenye mjadala maalum kupitia X Spaces ya JamiiForums tarehe 30 Januari 2025, kuanzia saa 12:00 jioni hadi 2:00 usiku. Shiriki...
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru ndo Mwanasiasa anayebidi kulaumiwa kwa kuharibu demokrasia ya Tanzania .

    Wakuu. Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa. Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania. Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Biden alimfutia mtoto wake mashitaka; Trump kawafutia mashitaka mashabiki zake na kuwafukuza kazi wote waliomhukumu. Demokrasia ipo wapi?

    Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze ulaya na Marekani kunapokuwa na suala la kitaifa huwa wamoja na Chama tawala

    Vyama vya upinzani vijifunze ulaya na Marekani kunapokuwa na swala la kitaifa wamoja na Chama tawala Mfano nchi za ulaya na marekani wakiamua kuinyonya Africa au nchi ikishambuliwa vyama vyote tawala na upinzani huwa kitu kimoja Pia ikitokea mfano kuna mkutano mkubbwa wa kimataifa unafanyika...
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hasara na Maumivu kwa CHADEMA Katika Msimamo wa "No Reform" No Election" October 2025!

    Kampeni ya "No Reform No Election" ya CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) ina malengo mazuri ya kudai mabadiliko ya kisiasa na uchaguzi huru. Hata hivyo, ikiwa CCM (Chama Cha Mapinduzi) itashiriki uchaguzi wa 2025 bila kufanyia marekebisho mifumo ya uchaguzi, CHADEMA inaweza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania HITIMISHO:Mbowe ni zaidi ya Lissu hata kama Demokrasia imeamua.

    1.Mbowe ana uwezo wa kutumia mbinu tofautitofauti katika kupigania mabadiliko,Kwa kifupi hakuna kipya ambacho atafanya Lissu Mbowe hajakifanya,kama ni kugomea Uchaguzi Mbowe alifanya 2019,kama ni kuandamana Mbowe alishafanya,kama ni kuongea Mezani Mbowe alishafanya kwahiyo Mbinu nyingi zitakuwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  14. Moaz

    JamiiForums Tanzania Noam Chomsky na Demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Noam Chomsky ana mtazamo wa kina na wa kukosoa kuhusu demokrasia, hasa jinsi inavyotekelezwa na kuathiri nchi zinazoendelea. Kwa Chomsky, demokrasia mara nyingi haina maana halisi ya kuwa sauti ya watu, lakini badala yake inakuwa chombo cha kudhibiti tabaka la chini kwa masilahi ya tabaka...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA umetufundisha jinsi ya kutekeleza demokrasia kwa vitendo, kazi kwenu tume huru

    Tangu CHADEMA kutangaza mchakato wa kumpata Mwenyekiti, wagombea hawakulala, walitoa ya moyoni.Wengi walituhumu, wengine walitoa maneno ya kashifa ili kuvutia kura upande wao, Wenye Hekima na busara walivumilia. Mwisho wa siku uchaguzi umemalizika. Nilichojifunza katika uchaguzi huu ni kwamba...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bado nawaza akili za marehemu Magufuli. Yeye anazunguka Tanzania nzima kufanya siasa huku wapinzani akiwazuia na kusema wachape kazi wasifanye siasa

    Hivi yule Mzee alikuwa na matatizo ya afya ya akili? Miaka 5 anazunguka Tanzania nzima kujinadi halafu kipindi cha uchaguzi mkuu 2020 bado tena akawaminya kwa kutumia Dola. Mtu mwenye akili timamu asingeweza kuishi maisha Yale ambayo waliishi ma fascist wa karne ya 15.
  17. D

    JamiiForums Tanzania CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu mwaka huu, tutegemee tena ya Magufuli na uuaji wa demokrasia?

    Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao...
  19. G.Man

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Watanzania na Demokrasia

    Miongoni mwa sera bora kabisa kuwahi kusimamiwa na mgombea wa uongozi hapa nchini ilikuwa ELIMU ELIMU ELIMU. Binafsi nimeona mambo yafuatayo kuelekea kumjua Mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka mitano ijayo. 1. Watanzania hasa vyama vya upinzani ambao wana hubiri demokrasia mdomoni: ni watu...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

    My friends, ladies and gentlemen! Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho. Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
Back
Top Bottom