Kwanza ni muhimu tuelewe maana ya Demokrasia kabla ya kuutaka kujenga mfumo wa utawala ambao unakidhi matumaini yetu badala ya matakwa ya Demokrasia yenyewe.
Kwanza Demokrasia ni nini? Imeelezwa kwa kifupi kama Demokrasia ni mfumo wa Serikali ambapo mamlaka ni ya wananchi, ambao huyatumia moja...