UAE (Dubai) hakuna mfumo Demokrasia, pia Hakuna NGOs ila wananchi wana-enjoy maisha

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,386
Reaction score
40,027
Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
 
Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote na umaskini hadi kwenye kope. Wakati UAE (Dubai) hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha
 
Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
"Dubai is a city that has sold itself to the world as the epicenter of wealth and ostentation. But what they don't want you to know is that behind this unquestionable glitter lies a reality that never appears in commercials or Instagram photos: poverty. Yes, in the same city that boasts the tallest building in the world and vending machines that sell gold, thousands of people live in conditions that could barely be called human.Sounds contradictory, doesn't it? But while some collect supercars and stay in suites costing millions, others survive in crowded warehouses, clandestine slums or even rusty boats.Today, Bello Mundo invites you to look beyond the glittering façade. We're going to explore a side that Dubai tries to hide at all costs - a side that few know about and that many prefer to ignore. If you thought Dubai was just a city of dreams, it's time to discover the shocking truth behind the skyscrapers."

you can google it
 
Ngumbaru sisi kwa ujuaji hatujambo
 
Siku tukiiondosha ccm tutaizidi dubei
Nani amekuambia CCM ndio tatizo,nchi nyingi tu za Kiafrika zimebadilisha vyama ni ipi inaifikia hiyo UE kwa maendeleo??
Umasikini wa Africa umetengenezwa na wenye nguvu za kiuchumi,ili kuondoka na huo umasikini unahitaji viongozi jasiri kama akina Traore,Putin au Xi-Jinping.
 
Ila watanzania hatuna focus. CCM imekamata vyombo vyote vya maamuzi, kuanzia wenyeviti wa mitaa na vijiji, halmashauri zote, bunge na Serikali. Ila Bado huoni kwamba wao ndio chanzo?. Kama vyombo vya maamuzi wanavyo ila mambo ndio yale yale je itakuwaje kwa Kiongozi Mmoja tu? CCM ni tatizo tukubali.
 
Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
Wabunge na viongozi wa chini wanapatikanaje?
 
Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote na umaskini hadi kwenye kope. Wakati UAE (Dubai) hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha
Ukiweza kuwaza vizuri utagundua tatizo la tanzania wala ni mifumo ya kiutawala mibovu na ya ubinafsi iliyo asisiwa na nyerere na chama chake
 
Back
Top Bottom