democrats

Stonewall Democrats, also known in some states as LGBT Democrats, is a caucus within the Democratic Party that advocates for issues that are relevant to LGBT Americans. The caucus primarily operates through individual chapters or political clubs supporting LGBT rights and affiliated with the Democratic Party.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Wapenzi wa Palestina, rafiki yenu ni Democrats sio Republicans

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo analihutubia bunge la pamoja la Marekani (House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na kutohudhuria hotuba yake huku wabunge na maseneta karibia wote wa chama cha Republicans wakihudhuria.
  2. Yoda

    Democrats wa Marekani wamechanganyikiwa? Mbona wanajiendea kama gari bovu?!

    Mbona karibia viongozi wote wa chama cha Democrats wamekimbilia kumuunga mkono Kamala Harris ambaye ni mtu wa mrengo kushoto wa mbali kabisa na mwenye nakisi kubwa katika CV yake panapo masuala ya uchumi na usalama? Kwanini vigogo wa Democrats hawakutaka kujielekeza zaidi kuwaachia wajumbe wa...
  3. W

    Baadhi ya Makada wa Chama cha Democrats wataka Biden Asigombee Urais

    Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya kushindwa kutetea hoja zake kuonesha hali ya kusita na sauti kukwama mara kwa mara na kushindwa...
  4. BARD AI

    Democrats wafanikiwa kutetea udhibiti wa Bunge la Seneti

    Democracts wamefanikiwa kupata viti 50 vya Wabunge huku chama anachotokea Donald Trump, Republican wakibaki na viti 49. Rais Joe Biden amesema amefurahishwa sana na matokeo hayo huku akiwataka Wabunge wa Republicans kufanya uamuzi wa kujua wao ni nani kwenye siasa za Marekani. Pamoja na...
Back
Top Bottom