december

December is the twelfth and the final month of the year in the Julian and Gregorian calendars. It is also the last of seven months to have a length of 31 days.
December got its name from the Latin word decem (meaning ten) because it was originally the tenth month of the year in the calendar of Romulus c. 750 BC which began in March. The winter days following December were not included as part of any month. Later, the months of January and February were created out of the monthless period and added to the beginning of the calendar, but December retained its name.In Ancient Rome, as one of the four Agonalia, this day in honour of Sol Indiges was held on December 11, as was Septimontium. Dies natalis (birthday) was held at the temple of Tellus on December 13, Consualia was held on December 15, Saturnalia was held December 17–23, Opiconsivia was held on December 19, Divalia was held on December 21, Larentalia was held on December 23, and the dies natalis of Sol Invictus was held on December 25. These dates do not correspond to the modern Gregorian calendar.
The Anglo-Saxons referred to December–January as Ġēolamonaþ (modern English: "Yule month"). The French Republican Calendar contained December within the months of Frimaire and Nivôse.

View More On Wikipedia.org
  1. December 9 Ni Birthday Yangu

    INANIFIKIRISHA SANA NITOKE AU NISUBIRIE NIFWATE MAGETONI😔
  2. M

    Hizi videos zinatolewa kimkakati sana, kuna videos za kutisha zaidi zimeminywa hazitoki mpaka December

    Nilichogundua kuna videos nyingi sana, lakini zinatolewa kwa mkakati maalum. Kila wiki, video itatolewa kulingana na ukubwa wa athari inazoweza kuleta kwa hisia za watazamaji, kufikia December zitaanza kupandishwa videos zisizotazamika mara mbili.
  3. Tunaitaka Tanganyika yetu; 9, December tuwashinikize wahuni watuachie Tanganyika yetu

    Mapambano ya kutafuta uhuru wetu kamili watanganyika yasipoozwe na kitu chochote. Tujaribu kuweka kando yale tunayoweza kuyaweka kando ili tulipiganie Taifa letu, ili Kila mtanganyika aishi kwa amani katika nchi hii bila hofu. Tarehe 9, December tusipotoka Ili kuwashinikiza wahuni ili...
  4. L

    Vijana msishindane na serikali. Tulieni

    Vijana msishindane na serikali, mtulie, fanyeni kazi mule ugali na familia zenu Siku ya maandamanlo ya tarehe 29 wengi waandamanaji walikuwa vibaka na wezi na ndl sababu wengi waliiibiwa Sasa je,maandamano nikuaribu miundombinu? Ni kuiba maliza raia wenzenu? Kwa wote waliouwawa bila hatia...
  5. Masharti kuelekea December 9

    MASHARTI 10 KWA SERIKALI BATILI, HARAMU NA KATILI YA SAMIA KABLA YA TAREHE 09/12/2025 1. Serikali ikabidhi miili ya wapendwa wetu ili tuwazike kishujaa. Mwili usipotezwe wala kuchomwa moto Wazo Hills au kuzikwa kwenye makaburi ya siri kama mnavyofanya sasa hivi. 2. Serikali itumie kodi ya...
  6. December 9 Tunatoka kwa Amani KULAANI Mauaji ya October 29 Wapenda Haki na Asasi zote za Kiraia Mtuongoze.

    GT. Tunaomba watanzania wote kwa umoja wetu tushikamane kuhusu hili mauaji ya October 29 hayakubaliki hiyo December 9 tutoke kwa amani kuukemea huu unyama wa samia. 1. Asasi za kiraia zote muwe mstari wa mbele 2.TLS na THRC Mtuongoze mstari wa mbele kabisa 3. Akina mama wote mliouliwa...
  7. G

    My diary: Mdogo Mdogo hadi 31st December 2034 - Uwekezaji na mtindo wa maisha

    Siku hii imenikuta nje ya Tanzania. Nimekuja Nchi moja south Asia kwa shughuli za kikazi. Nitarejea tarehe 17 October. Si mtu wa kupenda kununua nunua vitu nikiwa safarini lakini this time, imenilazimu kufanya hivyo kwa ajili ya zawadi kwa watu wa nyumbani kwangu. Safari za mbali namna hii...
  8. Kuna uhaba wa mafundi ujenzi tangu Desemba 2024. Chanzo ni nini?

    Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini? At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali...
  9. FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  10. DStv wametoa ofa ya chaneli zote bure kuanzia 27 mpaka 29 Desemba hata kama hujalipia

    Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana. DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29. Siku za karibuni DStv amekuwa akipungukiwa na wateja hii ni baada ya AzamTv kuliteka soko la ndani...
  11. Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

    Wengine nimewapiga block, Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili. Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena, Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
  12. R

    Swali: Mbinguni Kuna sikukuu ya Christmas 25 December?

    Salaam, Shalom! Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba; (Mathayo 6:10) "Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni " Swali no 1. Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni? Swali...
  13. S

    DOKEZO Kwa wote mnaotarajia kusafiri kwa magari yenu kipindi cha December/January ningependa kuwakumbusha jambo la msingi sana hapa, kwa faida na uhai wenu

    Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine hawakuwahi kuisoma, na inaweza kuokoa uhai wao, hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza...
  14. Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

    Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
  15. Kwanini Christmas iwe 25 December?

    Wakuu, Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu. Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti.. Mbona kama hesabu haipo sawa. Soma Luka 1:26-35
  16. AI Journey 2024 | Society | Main stage | December 11

    https://www.youtube.com/live/808EX-G3zzQ
  17. Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

    Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari. Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae. Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao. Update Ukumbi ni Mlimani City Muda ni saa 5 asubuhi Gharama za event zimetokana michango ya diaspora, sauti ya watanzania group na...
  18. Computer Analyst Programmer II – 3 Post at Bank of Tanzania (BOT) December, 2024

    Job type: Full-time POST COMPUTER ANALYST PROGRAMMER II – 3 POST EMPLOYER Bank of Tanzania (BOT) APPLICATION TIMELINE: 2024-12-05 2024-12-19 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Administer computer systems by ensuring that at all times the systems are properly functioning and help users...
  19. Kampala International University in Tanzania (KIUT) – December, 2024

    Kampala International University in Tanzania (KIUT) is a fully registered private university located in Dar es Salaam, just 6.3 kilometers from Julius Nyerere International Airport. KIUT is committed to providing a high-quality education and is now looking to expand its team. They invite...
  20. Mikasa Katika Kuitafuta 9 December 1961

    https://youtu.be/dQtHPdH0THc?si=ubm8AfL6bpvLrT5h
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…