dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elimika na Epuka madhara yasio ya lazima ya dawa hapa nitatoa ufafanuzi juu ya hili hasa matumizi yasiyo sahihi kwa Antibiotics

    Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo: 1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Dawa gani utumie au ufanyeje kwa njia za Miti Shamba kama ukihisi Umelishwa Sumu au Umekula Sumu ili uweze Kupona na Usife au Usidhurike?

    Nimeanzisha huu Uzi Makusudi nikiwa nataka kuwasaidia Watu hasa hasa kwa mwaka huu na Nyakati tulizopo kwa sasa.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kichocho sugu usaha unatoka ameambiwa kibovu kina mayai ya kichocho

    Shusha dawa apo pharmacist au alieshauguaga io kichocho sugu
  4. JamiiForums Tanzania Dawa au mafuta ya kuondoa nywele kichwani

    Habari za jioni wanajamvi, Naomba niende moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 32, jinsia yang n Me, nimekumbana na changamoto ya kuota kipara mapema sana kuanzia kwenye komwe mpaka kisogoni, kwa bahati mbaya zaidi nywele za pembezoni mwa kichwa zinaota na kustawi haraka sana kila ninaponyoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino na Kichomi

    Habari za humu! Kama kuna mtu anasumbuliwa na jino na kupata maumivu makali sana kuna dawa ya kienyeji ambayo utapona ndani ya dk 5 na kuisha tatizo lako. Wahi sasa 0747928158 Nipo Dar
  6. JamiiForums Tanzania Ugonjwa ninao changamoto ni matumizi ya dawa

    Habari za muda huu wakuu, Naandika hapa nikiwa kijana mdogo(me), pre 20 yrs, nikiwa na heshima kubwa kwa wanajukwaa wote hasa wale walio na uelewa wa masuala ya afya. Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikiona damu nyekundu ang’avu wakati wa haja kubwa, hasa pale ninapojikamua chooni. Sina maumivu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni dawa gani? Nina wasiwasi

    Habari Wana jf?. Nimekuta HII dawa kwenye mkoba wa demu wangu wakati tukiwa lodge yeye alikuwa ameenda bafuni simu yake ikawa inaita, kuangalia kwenye mkoba ndo nikakutana na hii dawa sijajua ni dawa Gani. Kwa anayeifahamu basi. Isije ikiwa nimekanyaga miwaya
  8. JamiiForums Tanzania Hizi dawa wanauza wamasai zinatibu kweli?

    Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?” Mwenye ushuhuda aniambie
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - natafuta Dawa ya mafua ya kuku

    Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Moto ni Moto tu, Yeyote Anayetaka Kuhatarisha Usalama wa Nchi Shughulika Nao

    Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada. Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda...
  11. JamiiForums Tanzania Chungu ila ni dawa

    NUSU FAINALI CAF CC 🏆 . 🇹🇿 SIMBA SC 🆚 STELLENBOSCH 🇿🇦 YANGA VS STAND UNITED CRDB CONFEDERATION ROBO FAINALI KUPANGA NI KUCHAGUA 🏃🏃🏃🏃 mm yanga damu ila nahamia simba
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Baada ya dawa hizi nini hutokea?

    Tulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza period akaona matone mawili,baada ya siku mbili likatoka tone moja, ilipofika tarehe ya kuanza period...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

    Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke. Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo. Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Nimegundua dawa ya UTI, gono na kaswende. Ndani ya masaa 24 mpaka 48 mtu anakuwa amepona kwa 100%. Nikiwapa NIMRI tanufaika?

    Wazee kwema! Niliugua UTI nikachukua hii dawa nikanywa ndani ya masaa 24 nikawa mzima. Nimemtest mtu mwenye gono ndani ya siku 2 akawa mzima. Nawaza niwape NIMRI waiboreshe na kuzalisha kwa wingi. Je, tapata pesa?
  15. JamiiForums Tanzania Hizi ni dawa za nini na zinatibu nini?

    .
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli wa wazi: Kidonda cha CHADEMA kimepata dawa inayowasha

    Kumekuwa na vuguvugu na dalili za mgawanyiko kuhusu msimamo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kupitia kaulimbiu No Reforms No Election iliyoasisiwa na chama hicho chini ya mwenyekiti wake Tundu Lisu. Mgawanyiko huo wa kimtazamo unatokana na kampeni ya kutoshiriki uchaguzi pasipo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, tunao wataalam (Pharmacists) wa kutengeneza dawa hapa nchini Tanzania ?

    Sekta ya afya ni moja ya eneo nyeti linalogharimu pesa nyingi za serikali inaponunua madawa toka nchi za nje kwa pesa za kigeni. Wakati huo huo,. serikali inasomesha maelfu ya wafamasia ngazi za stashada (diploma) shahada (degree) masters mpaka PHD. Najiuliza tu, ya kwamba katika maelfu ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wasaidia vijana wa Kitanzania kushinda Kifua Kikuu sugu kisichosikia dawa

    “Leo nimeweza kujumuika na watu wengine wa sehemu mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, hii yote ni kutokana na hatua ya kuokoa maisha ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar,” alisema Seif Hassan Mbarouk mgonjwa wa kifua kikuu Zanzibar , huku...
  19. JamiiForums Tanzania Matumizi holela ya dawa, ni tiba au sumu?

    Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo, bila ushauri wa daktari,Siku mbili baadaye hali yake ikawa mbaya zaidi. Hii si hadithi tu ila hii ni hali halisi ya maelfu ya Watanzania. Bi. Fatuma Yusuph ni mmoja wa mashuhuda wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada please kama kuna Dawa nisaidieni napata Msongo

    Mimi tatizo langu kubwa ambalo linaloninyima raha ni kuwa korodani zangu naona si kubwa kiasi kile ambacho ngependa ziwe. Napenda kawe kafurushi flani hivi hata nikiwa sina nguo zinaning'inia (pumbuh mzigo) napenda sana. Hizi nlizo nazo of course demu wengine husema wanazipenda nikiwa nyuma yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…