dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

    Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115. Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa. Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena. Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya uvimbe

    habr wana jf naomben msaada dawa ya kuondoa uvimbe kwa haraka mtu aliyepigwa na akavimba uso na macho pia
  3. JamiiForums Tanzania Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi sita, kila alalapo huwa anakoroma sana yaani unaweza ukahisi ni mtu mzima huo mkoromo wake! Je, hii husababishwa na nini? Naweza kumsaidiaje mwanangu aache kukoroma alalapo, maana hata...
  4. JamiiForums Tanzania Dawa gani nikitumia sitakiwi kutumia kileo

    Nawasalimu wanajamvi kama heading inavosema nikitumia dawa zenye content gani sitakiwi kabisa kupiga pombe? Maana kwenye muvi sometimes tunaona wazungu wanakunywa baadhi ya dawa wanasukumia la pombe tena pombe kali (Najua wanaigiza) Tukija kwenye uhalisia Nyie wataalamu mliotumia muda wenu...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kutibu ukaukaji wa matunda kwenye mti

    Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani. Naambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi
  6. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi mmepotosha kuhusu dawa ya kutibu Uviko-19

    Habari hii iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwanachi mtandaoni ina upotoshaji mkubwa. Dawa ya molnupiravir imekuwepo kwa mda sasa ikitumika kuwasaidia wagonjwa wanasumbuliwa na maambukizi ya virusi. Wataalamu walichofanya ni kuitumia dawa hiyo kwa wagomjwa wa UVIKO 19 na wala si kugundua kama...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada, ipi dawa nzuri ya kuua na kumaliza kabisa uwepo wa mazalia ya mdudu mende

    Hawa wadudu ni kero sana wanapokua ktk makazi yako. Nimehamia nyumba fulan nimekutana na mazalia ya mende wadogo ambao wamekua wengi sasa.. Inafika hatua mtu umelala kitandani mende anatembea juu ya mwili,hali hii inakosesha usingizi Na pia kuna choo cha umma wanatoka mende wakubwa wale na...
  8. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitumia hii dawa yenye mchanganyiko wa mizizi sita, utavuta wateja kwenye biashara yako mpaka watu washangae (Tazama na sikiliza hii video)

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu. Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Pale mfumo wa silaha hatari unapoungana na dawa

    Dunia imeharibika sana. Wanadamu wamezidi kuunda silaha hatari za kila aina ambazo tayari zina uwezo wa kuangamiza dunia hata mara 3 mara 4. Zipo silaha za milipuko, za magonjwa, za mionzi na hata za hali ya hewa zinazoweza kutuma kimbunga au hata tetemeko. Kama yupo mtaalamu, atusaidie kujua...
  10. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Dawa na Chakula Tanzania mnaliona hili?

    Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa nzuri ya matonsi na kikohozi

    Habari za kazi wakuu nilikua nasumbuliwa na Matonsi na kikohozi...nilikua naomba msaada wa dawa nzuri ya kutumia
  12. JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali za Serikali, ukweli ni upi?

    Awamu ya 5 tuliambiwa upatikanaji wa dawa kwenye maeneo hayo umefikia hadi 94% hii likuwa 2018 , lakini watu walewale kwenye awamu ya 6 mwaka 2021 tunaambiwa upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali zilezile umepanda hadi 61% kutoka 21% ilivyokuwa awali . Anayeelewa hizi Takwimu...
  13. JamiiForums Tanzania Kitanda kinamalizwa na wadudu. Mwenye kujua dawa tafadhali

    Wakuu za muda. Kuna hawa wadudu weupe hivi kama wale wa kahawa, wanakula mbao hatari. Sasa nawasikia kila leo wanakula kitanda na huwa nawachokona hadi kuwapata na kuwaangamiza ila bado wanazaliana. Mwenye kujua dawa anijulishe tafadhi
  14. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  15. JamiiForums Tanzania Tonsils dawa yake ni nini?

    Habari yaani huu ugonjwa tokea nakua ,leo zmenibana usku huu swez meza ,tafuna . yaani hata kuongea napata shida msaada sjui kama nitapata usingzi.
  16. JamiiForums Tanzania Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

    HaBari wadau..! Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  17. JamiiForums Tanzania Taratibu za kurasimisha dawa asili kwa Tanzania ni zipi?

    Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili. Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba. Msaada wadau.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hii dunia tutahangaika na huu upuuzi wa Corona hadi lini? Dawa ni kutunga sheria tu

    Ninachofahamu kwa uhakika wa 100% ni kwamba janga hutiliwa mkazo endapo tu kuna manufaa yanapatikana kwa kupitia Janga hilo, iwe ni magonjwa, matetemeko, mafuriko nk. - Mfano kwa magonjwa, ukiona NGO inapigia sana kelele masuala ya Ukimwi kwa mfano, basi tambua kuna manufaa wanapata toka...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi 678 za Dawa za Kulevya zashikiliwa Zanzibar

    Na Abubakari Akida,MOHA Jumla ya Kesi 678 za Dawa za Kulevya zimekamatwa na Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya katika kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2018 mpaka Agosti mwaka 2021 huku jamii ikiaswa kutambua dawa za kulevya ni uhalifu kama uhalifu mwingine ili...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Connection ya Maduka (Wholeselers) /Viwanda vinavyouza Dawa za Binadamu kwa bei nafuu zaidi

    Habari wajumbe. Naomba Connections za Maduka au Viwanda tunapoweza kupata Dawa za binadamu wa bei nafuu zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…