dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wazee wadai kunyimwa dawa Hospitali ya Wilaya

    Umoja wa wazee Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma, umewasilisha malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Laban Thomas wakiwatuhumu wahudumu wa Hospitali ya Wilaya hiyo kwa kuwanyima dawa, licha ya kutengewa dirisha lao katika hospitali hiyo. Mkuu wa Mkoa Laban Thomas ametoa agizo kwa Mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Dawa za kuongeza makalio zinaua figo, maini na kusababisha saratani

    Wakati baadhi ya wanawake wakizichangamkia dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio, watalaamu wamesema mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa na Mamalaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) hivyo wajiepushe nazo. Tahadhari hiyo inatolewa huku matangazo ya dawa hizo pamoja na za kuongeza matiti na...
  3. JamiiForums Tanzania Bakteria Sugu kwa Dawa watajwa kuwa chanzo kingine hatari cha vifo Afrika, Tanzania ikiwemo

    Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye vimelea wasiotibika kutokana na usugu wa dawa. Ripoti hiyo imebaini kuwa ni vimelea vitano tu kati ya 15...
  4. JamiiForums Tanzania Mke mwenye miaka 15 aumizwa vibaya na mume kisa kumwaga dawa ya mbuzi

    Mesoni Kashiro (15) Mkazi wa kijiji cha Gelailumbwa, kata ya Gelailumbwa, tarafa ya Ketumbeine wilayani Longido mkoani Arusha, ameshambuliwa na mume wake Namendea Lesiria kwa kushirikiana na rafiki yake ambaye jina halijafahamika kwa kosa la kumwaga dawa ya mfugo aina ya mbuzi. Ofisa Ustawi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Siyo sahihi kuifungua dawa iliyotengenezwa kwa mfumo wa “Capsule” ili utumie unga wake

    Baadhi ya watu huamini kuwa kutumia unga wa dawa iliyo tengenezwa kwa mfumo wa “capsule” ndiyo njia sahihi na haraka ya kupona ugonjwa husika. Kitaalamu, dawa hutengenezwa kwa mfumo wa capsule ili kuepusha athari za kupungua kwa nguvu yake kabla haijafika kwenye sehemu sahihi ya mwili...
  6. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuripoti madhara yanayohusishwa kusababishwa na matumizi ya dawa

    Umuhimu wa kuripoti madhara yanayohusishwa kusababishwa na matumizi ya dawa Binadamu ni kiumbe anayehitaji afya njema ambayo inajumuisha utimamu wa mwili na akili ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa bila vikwazo. Hivyo basi ikitokea akapata maradhi kwake huwa ni kikwazo na...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

    Salaam, Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa? Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani...
  8. JamiiForums Tanzania Ridhwani Kikwete akemea vikali wauza dawa za kulevya na ataka sheria kali itungwe

    Dj walete na song letu la Iyena iyena. Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya. Ni kipi kimekushangaza? Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
  9. JamiiForums Tanzania Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

    Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga. Mimi niko...
  10. JamiiForums Tanzania Watu watano wanaacha kutumia dawa za ARV kila mwaka

    WAZIRI wa afya Ummy Mwalimu ameeleza kati ya watu 100 Tanzania wanaoishi na virusi vya ukimwi 95 wanatumia dawa za kufubaza virusi (ARVs) huku watano kati yao wanaacha dawa hizo ,suala ambalo linakwamisha juhudi za mapambano dhidi ya gonjwa hilo. Aidha amewaasa , wanaoishi na Virusi vya Ukimwi...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya kutoa mimba ya miezi mitatu

    Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela. Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu. Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye mrejesho kuhusu dawa za kupunguza uzito

    Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70! Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi! Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua! Naomba kama kuna...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania kufikia hatua ya dawa na vifaa tiba bora

    (Source: https://pixabay.com/photos) Magonjwa ya milipuko yamekuwa yakienea katika eneo kubwa sana na kuambukiza watu wengi kwa muda mfupi. Homa ya Uhispania, Virusi Vya Ukimwi na UVIKO-19 ni baadhi ya magonjwa ambayo yamekumba nchi tofautitofauti ikiwemo Tanzania katika historia ya wanadamu...
  14. JamiiForums Tanzania Gambia: Dawa za Paracetamol zahofiwa kusababisha vifo vya watoto

    Mamlaka zinachunguza uhusiano wa dawa za paracetamol za kimiminika na makumi ya vifo vya watoto vinavyosababishwa na figo kushindwa kufanya kazi baada ya siku 3 hadi 5 za kutumia dawa hizo Ingawa hakuna idadi rasmi ya vifo hadi sasa, Mkurugenzi wa huduma za Afya, Mustapha Bittaye amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Gambia: Dawa za kushusha homa na kutuliza maumivu zachunguzwa madai ya kusababisha vifo vya Watoto

    Serikali ya Gambia inachunguza iwapo vifo vya Watoto vilivyosababishwa na figo ndani ya miezi mitatu iliyopita kama vimesababishwa na dawa ya kushusha homa na kutuliza maumivu (paracetamol). Bado haijajulikana ni kampuni ipi ya dawa ya maumivu ambayo inaweza kuwa chanzo ambapo miili...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake kwa ustawi wa jamii

    Andiko langu linahusu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake jinsi gani mtumiaji au muathilika wa dawa za kulevya anaweza kupata matibabu na akaludi katika hali ya usawa, Aina ya dawa za kulevya, 1. Heroin 2. Bangi 3. Cocaine 4. Dawa za tiba zenye asili ya kulevya 5...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti: Saudi Arabia inakaribia kuwa lango kuu la Dawa za Kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
  19. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unywaji holela wa dawa bila kupewa maelekezo ya Daktari

    UNYWAJI HOLELA WA DAWA BILA KUPEWA MAELEKEZO YA DAKTARI Dawa mtu hupewa baada ya kugundulika kuwa ana ugonjwa fulani au ana dalili za ugonjwa fulani, baada ya kumuelezea daktari kwa undani na kufanyiwa vipimo kutokana na dalili alizozisema ila siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la unywaji...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Dawa za kulevya na athari zake katika maisha

    Andiko langu litakua na sehemu tatu kuu, sehemu ya kwanza dawa za kulevya na maana yake. Sehemu ya pili urahibu wa dawa za kulevya na athali zake. Sehemu ya tatu namna ya kuepukanana na hili janga. DAWA ZA KULEVYA. Dawa za kulevya ni aina ya kemikali zitumikazo katika mwili wa mwanadam kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…