dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kupaka mbao dawa au kupaka oil ipi inakaa muda mrefu bila wadudu kula?

    Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa. Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao. Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa. Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Morogoro: Waziri wa Maji Jumaa Aweso awaumbua mamlaka ya maji Morogoro, tangu mwezi February hawajaweka dawa ya kutibu maji katika matenki yao

    Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea vya magonjwa. Si ajabu mkoa wa Morogoro una maambukizi makubwa sana ya magonjwa ya matumbo, hasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wahaya na dawa za moyo

    Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo
  4. JamiiForums Tanzania Eti kuna dawa ya kumpata sugar daddy?

    Eti kuna dawa yakumpata suggar daddy??
  5. JamiiForums Tanzania Unanuka Kwapa? Hakiya Mungu tena hii dawa itakutibu 100% Kesho nipe mrejesho

    Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu. Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku. Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ukisikia kua uyaone ndo haya sasa: Bhufakale dawa ya kuchelewa kufariki (kufa)

    Habari za Leo mabibi na mabwana. Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..) Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu. Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  8. JamiiForums Tanzania India na dawa nzuri sana za mitishamba

    India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti. Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda...
  9. JamiiForums Tanzania Ukaguzi viwango na uthibitishaji wa dawa za kuongeza maumbile mamlaka zinazingatia nini?

    Habari Wakuu, Kumekuwa na Ofisi mbalimbali zilizopewa vibali vya kuuza madawa ya kuongeza maumbile (Uume kwa Wanaume) na Shepu kwa wanawake. Ofisi hizo zimekuwa huru na zinajitangaza hadharani sambamba na kusifia huduma zao. Nimewauliza wataalamu wa Afya kadhaa wanadai hakuna dawa...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada dawa nzuri ya PID

    Habari wakuu Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini. Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ya kumtuliza mke mchepuko inahitajika

    Najua wengi mnapambana na hii roho huoo kwenu Kuna mdada khangu yaan kalijitunza kakaolewa Kakazaa sasa kakachika kanagawa hatare mbaya kalishachika kakarudi hme wazazi wakiwemo Kakabadili dini kakavutwa na kakazetu wenye ruksa wa4 Majuzi amerudishwa na mamboyetu talaka Nahisi anapoelekea...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada; Dawa ya Miguu kufa ganzi na kukosa nguvu

    Habari za wana JF? Kwa kipindi cha miaka miwili sasa Bibi yangu amekuwa na tatizo la kuishiwa nguvu kwenye miguu, Umri miaka 70. Akisimama kwa mda wa lisaa lazima aanguke chini, akitembea nyayo zinakuwa na ganzi. Naimbeni tiba na ushauri. Yuko DAR ES SALAAM. Ombi la rafiki yangu wa karibu...
  13. JamiiForums Tanzania YAAN KILA MTU FB ANAUZA DAWA ZA KUTIBU SUKARI KHA MBONA HIV HAMLETI

    Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
  14. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzibua choo naipataje wakuu

  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya kumvuta nimpendaye

    Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la upatikanaji wa bidhaa za afya vituoni hususani bidhaa za dawa

    UTANGULIZI. Licha ya selikari kufanya jitihada kubwa katika huduma za afya, ikiwemo majengo ya kutolea huduma za afya na wataalamu mbalimbali. Bado Kuna changamoto katika upatikanaji wa bidhaa za afya hasa bidhaa za dawa. Wizara ya afya kupitia bohari ya dawa (MSD) imekuwa ikipeleka dawa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumuambukiza VVU mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  18. JamiiForums Tanzania Dawa ya kumfanya mwanaume akupende na hatimaye akuoe

    Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe. Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia...
  19. JamiiForums Tanzania Wanajamvi naombeni msaada hii dawa

    Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
  20. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumwambukiza mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…