dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni dawa gani?

    Hii dawa mtu aliomba sana nimtafutie atanipa pesa nzuri sijui ya nini na inatibu nini.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Bibi anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, tumpe dawa ghani?

    Habari za usiku wanajf, Bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe. Pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bibi anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, tumpe dawa ghani?

    Habari za usiku wanaJF, bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
  4. JamiiForums Tanzania Hii Dawa kweli ni kiboko ya popo!

    Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana! Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena. Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil (grisi) changanya na paka sehemu wanayoingilia na kutokea ama toboa signboard panda juu paka mbao za...
  5. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

    Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani. Ni hivyo tu shukrani Wadiz
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 7 kamili ameharisha mara 13, dawa akipewa anaicheua

    Habar wakuu msaada wenu wa mawazo binti yangu ana miezi saba kamili sasa. Awali ya yote tangu ijumaa kaanza kuugua malaria akapewa doze ya mseto, sasa tangu alfajiri ya leo kaanza kuharisha na na tumbo kulisikia kama linatoa sauti. Kaharisha mara 13 tangu alfajiri. Asubuh tukachukua jukumu...
  7. JamiiForums Tanzania Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  8. JamiiForums Tanzania Hata kama tuna hela na utajiri ila tuzingatie sana Afya zetu na tuwe na nidhamu nzuri ya kunywa dawa zetu

    Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aina ya Range Rover Sport HSE, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Idrisa, jijini Dar es Salaam karibu na Bar ya Chipolopolo leo Jumanne, Septemba 24, 2024. Mwananchi ambayo ipo eneo la tukio inasubiri polisi wafike eneo hilo...
  9. JamiiForums Tanzania VYUMA VIMEKAZA Vs SINA HATA MIA MBOVU

    Salaam wakuu. Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo. NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana Nawasilisha.
  10. JamiiForums Tanzania TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ya Mwanamke Msaliti na Muongo

  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kuondoa michubuko sehemu za siri (haja kubwa)

    Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Hizi dawa zilinisaidia maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata duka la dawa za asili Kisuna Mwanza mjini?

    Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa. Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
  15. JamiiForums Tanzania Dawa kiboko ya panya ni ipi? mbona nimemaliza dawa na tatizo haliishi

    Wakuu msaada nimemaliza dawa ila panya hawapungui Kuna kiboko nyingine
  16. J

    JamiiForums Tanzania Usugu wa dawa za VVU waibua changamoto mpya za matibabu

    Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya umeonyesha. Usugu wa dawa dhidi ya vimelea vya magonjwa ni changamoto kubwa inayoikabili dunia kwa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni dawa viroboto vimeingia ndani kwangu

    Kwa nje kama mita 8 hadi nje nyumba ndio kuna banda la umbwa. Nimeanza kutumia dipu kuoshea mbwa, vp kuhusu hivi viroboto vilivyoingia ndani naweza kuvimalizaje kabla havijawa chroic?
  18. JamiiForums Tanzania Msaada jins ya kuisajir dawa yangu ya bawasiri

    Habarini za muda huu Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na kuibrand Dawa yangu imekua na mafanikio makubwa katika kutibu bawasir imewatibu watu weng waliokata...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Napataje dawa ya kuondoa alama ya mshono mdomoni

    Wanajukwaa habarini nilikuwa naulizia dawa ya kuondoa alama ya mshono mdomoni.
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji

    Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…