dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya kuua mbu wote katika mazingira yako

    Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu: 1. Maji yaliyotuama Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu. 2. Taka zilizochakaa Mbu hupenda kujificha sehemu zenye takataka nyingi hasa zilizo na unyevunyevu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia vipele baada ya kunyoa ndevu.

    Habarini Wana-JF, kama kichwa kinavyojieleza. Vipele ni changamoto kubwa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Njaa haimpendezi mtu kama nguo, Tundu Lissu akigoma kula msihangaike naye, atakula mwenyewe

    Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa. Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nyumba (Paa) zinazovuja karibuni dawa imepatikana

    Wakuu poleni sana na adha ya paa kuvuja. Mtaalam wa kuzuia maji kwenye paa nimefika karibuni. Wale wa hidden roof poleni sana na wale mlio weka paa la zenge pia poleni. Gharama zetu ni nafuu tunapatikana dar. Simu: 0694185384 TUMA TUMIA VIFAA MAALUM KUZUIA PAA LAKO LISIVUJE KARIBU SANA...
  5. JamiiForums Tanzania Dawa gani sahihi ya kutokomeza majani shambani?

    Asalaam wadau wa kilimo! Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba? Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha, Naomba wajuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Elimika na Epuka madhara yasio ya lazima ya dawa hapa nitatoa ufafanuzi juu ya hili hasa matumizi yasiyo sahihi kwa Antibiotics

    Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo: 1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
  7. JamiiForums Tanzania Ni Dawa gani utumie au ufanyeje kwa njia za Miti Shamba kama ukihisi Umelishwa Sumu au Umekula Sumu ili uweze Kupona na Usife au Usidhurike?

    Nimeanzisha huu Uzi Makusudi nikiwa nataka kuwasaidia Watu hasa hasa kwa mwaka huu na Nyakati tulizopo kwa sasa.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kichocho sugu usaha unatoka ameambiwa kibovu kina mayai ya kichocho

    Shusha dawa apo pharmacist au alieshauguaga io kichocho sugu
  9. JamiiForums Tanzania Dawa au mafuta ya kuondoa nywele kichwani

    Habari za jioni wanajamvi, Naomba niende moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 32, jinsia yang n Me, nimekumbana na changamoto ya kuota kipara mapema sana kuanzia kwenye komwe mpaka kisogoni, kwa bahati mbaya zaidi nywele za pembezoni mwa kichwa zinaota na kustawi haraka sana kila ninaponyoa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino na Kichomi

    Habari za humu! Kama kuna mtu anasumbuliwa na jino na kupata maumivu makali sana kuna dawa ya kienyeji ambayo utapona ndani ya dk 5 na kuisha tatizo lako. Wahi sasa 0747928158 Nipo Dar
  11. JamiiForums Tanzania Ugonjwa ninao changamoto ni matumizi ya dawa

    Habari za muda huu wakuu, Naandika hapa nikiwa kijana mdogo(me), pre 20 yrs, nikiwa na heshima kubwa kwa wanajukwaa wote hasa wale walio na uelewa wa masuala ya afya. Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikiona damu nyekundu ang’avu wakati wa haja kubwa, hasa pale ninapojikamua chooni. Sina maumivu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni dawa gani? Nina wasiwasi

    Habari Wana jf?. Nimekuta HII dawa kwenye mkoba wa demu wangu wakati tukiwa lodge yeye alikuwa ameenda bafuni simu yake ikawa inaita, kuangalia kwenye mkoba ndo nikakutana na hii dawa sijajua ni dawa Gani. Kwa anayeifahamu basi. Isije ikiwa nimekanyaga miwaya
  13. JamiiForums Tanzania Hizi dawa wanauza wamasai zinatibu kweli?

    Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?” Mwenye ushuhuda aniambie
  14. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - natafuta Dawa ya mafua ya kuku

    Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Moto ni Moto tu, Yeyote Anayetaka Kuhatarisha Usalama wa Nchi Shughulika Nao

    Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada. Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda...
  16. JamiiForums Tanzania Chungu ila ni dawa

    NUSU FAINALI CAF CC 🏆 . 🇹🇿 SIMBA SC 🆚 STELLENBOSCH 🇿🇦 YANGA VS STAND UNITED CRDB CONFEDERATION ROBO FAINALI KUPANGA NI KUCHAGUA 🏃🏃🏃🏃 mm yanga damu ila nahamia simba
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Baada ya dawa hizi nini hutokea?

    Tulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza period akaona matone mawili,baada ya siku mbili likatoka tone moja, ilipofika tarehe ya kuanza period...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

    Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke. Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo. Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
  19. JamiiForums Tanzania Nimegundua dawa ya UTI, gono na kaswende. Ndani ya masaa 24 mpaka 48 mtu anakuwa amepona kwa 100%. Nikiwapa NIMRI tanufaika?

    Wazee kwema! Niliugua UTI nikachukua hii dawa nikanywa ndani ya masaa 24 nikawa mzima. Nimemtest mtu mwenye gono ndani ya siku 2 akawa mzima. Nawaza niwape NIMRI waiboreshe na kuzalisha kwa wingi. Je, tapata pesa?
  20. JamiiForums Tanzania Hizi ni dawa za nini na zinatibu nini?

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…