database

  1. Kila Mtaa/ Kijiji kiwe na Database ya wananchi wake hasa Vijana na Mikopo itolewe kwa njia hizo

    Habari Tanzania ! Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi. 1. Kila Kijiji/ Mtaa pawepo na Ofisi ya Vijana (Vijana Village/ Street Department). (Kata = Vijana Ward...
  2. Pendekezo: Tupate Database maalum ya vifo vya #MO29

    Naam! Vifo vilivyotokana na shambulizi la 9/11 pale World Trade Center, NY vilikuwa 2000+. Lakini mpaka Leo wamarekani kwa sauti moja wanasema “we will never forget” Japo hatuna idadi rasmi ya vifo vya #mo29, wengine wanasema ni zaidi ya 1000+. Zipo picha zimezagaa tu bila kuwa na sehemu moja...
  3. National Database Center iundwe Tanzania

    Habari Tanzania ! Mnataka mawazo ya vijana, ishi nayo hii wewe mwenye nguvu na mamlaka Tanzania. Naomba kupendekeza kuwa; Watanzania wote wasajiriwe nchi nzima. Tuwe na data za taarifa zao kuanzia Watu waliopo, wanaozaliwa, kufa, umri, Jinsia, Elimu, Kazi, nk ili tunapoweka mipango ya...
  4. Kutakua na mradi kubwa sana wa ku-analyze protein data zote ambazo zipo kwenye uniprot database

    Analysis of protein data itabase kwenye maeneo yafuatayo Energy distribution of individual amino acid and complete protein Magnetic force of individual amino acid and complete protein Amino acids sequence rules Protein folding mechanism Predict protein mutation Link ifuatayo inakuonyesha data...
  5. Ni yapi majukumu ya Database Administrator...!?

    Wakubwa habari ya nyie, naaamini mko poa sana Nikiwa katika harakati za kuombea mtu kazi huko Uhamiaji, nikakutana na hii post Database Administrator (MSSMS, PostgreSQL and Oracle). Kibongo bongo sijawai ona hii course ila nikahisi itakua part ya Data science. Swali langu ni yapi majukumu...
  6. Database Administrator at CRDB

    Job type: Full-time Database Administrator Department DEPARTMENT OF ICT Location Tanzania Head Office Number of openings 1 Job Purpose To perform basic database administration functions for the bank’s entire database management systems while ensuring that best practices for development...
  7. Je? Nikifaulu oral interview utumishi naweza kubaki database?

    Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!! Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
  8. Specialist: Server & Database Administrator at CRDB Bank February, 2024

    Position: Specialist; Server & Database Administrator Job reporting to: Senior Manager ICT Location: CRDB BANK Burundi S.A. No of positions: 1 Principal Responsibilities Perform daily database administration activities including configuration & monitoring, space management, capacity planning...
  9. L

    Naomba msaada nakosea wapi kwenye kuconnect hii form na database

    Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database. Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS Na huu ndiyo code yangu ya HTML <!DOCTYPE html> <html lang="en"> <head> <meta charset="UTF-8"> <link rel="stylesheet" type="text/css"...
  10. Geological Database Assistant at Bulyanhulu Gold Mine

    Position: Geological Database Assistant Reporting to: Geological Database Administrator Duration: Permanent Location: Kahama, Shinyanga Responsibilities Database management: with the example, the required candidate for this position is required to assist the Database Administrators to...
  11. Serikali iunde Dna Database ili kukabili uhalifu sio kutumia pesa za uma kwa anasa na miradi ya kifasadi ya vibopa wa CCM.

    Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma. Pesa hizo zingetumika kuunda Dna database ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kudhibiti uhalifu.. Mwizi akikamatwa anachukuliwa Dna...
  12. Mliopangiwa kazi Serikalini kupitia Mchakato wa 'Database' ya Utumishi, njooni mtoe Experience yenu

    Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya security na vitu kama hivyo. Uchache wa nafasi hufanya wengi wafunge safari hivyo hivyo kwenda Dodoma...
  13. S

    TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

    Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni. Angalieni TRA tax calculator. ===
  14. S

    Website and Database errors fix services

    Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi. Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo; Database 1. Database cleanup 2. Database optimisation 3. Database...
  15. Kijana mchapakazi, mwanifu na mbunifu

    .
  16. Natafuta watu tu-analyze protein data ambazo zipo kwenye uniprot database kama njia ya kujipatia kipato

    Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at molecular level in terms of;- Strain energy Heat of formation Dipole moment Vibrational frequencies...
  17. Napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu?

    Mtu aniekekeze napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu, nimeunda app lakini inahitaji database, wasi wasi wangu ni kama hapa Tanzanzia kuna hiyo huduma au mpaka nitumie za nje.
  18. Hivi kuna kuwa na 'database' ya watu wanaostahili kuteuliwa na Rais?

    Ukiangalia teuzi za rais ni kama kuna list ya watu ambayo huwa tayari imeandaliwa kwaajili ya kuteuliwa. Yaani teuzi zinawazungukia wale wale. Unakuta mtu akikosa ubunge au uwaziri atapata uRC, DC, DAS, DED au ukatibu mkuu. Mwingine unakuta alishapita vyeo vingi sasa kesha anza maisha mapya...
  19. SQL injection..

    SQL Injection (SQLi) is a type of an injection attack that makes it possible to execute malicious SQL statements. These statements control a database server behind a web application. Attackers can use SQL Injection vulnerabilities to bypass application security measures. They can go around...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…