database

  1. T

    CCM wadai kuwa na wanachama hai milioni 12. Natamani kusikia kwenye database ya vyama vingine

    Kama tujuavyo kuwa kwenye shughuli ya siasa mtaji ni wanachama, CCM wanadai kuwa wana wanachama hai wapatao milioni 12. Ningetamani kujua na vyama vingine waweke data za wanachama wao hadharani. Hii itasaidia sana kuwahamasha makada kufanya mapitio ya mipango na mbinu mbalimbali za kuongeza...
  2. kidadari

    Kanzi data itayounganisha hospitali zote za umma na binafsi ni jambo la muhimu

    Duniani kumekuwa na magonjwa mengi na matibabu yake yamekuwa complicated kidogo, mengine yanahitaji historia ya mgonjwa ili kuweza kumtibu na mengine yapo complicated kiasi unaweza kutibiwa hospitali 4 na ile ya nne ndo ukapata tiba sahihi. Mwezi wa 7,2020 nilimpeleka mjomba wangu hospitali...
  3. Rebeca 83

    Nashauri kuwe na Database rasmi kwa ajili ya wote wanaofanya kazi zisizotegemea ujuzi wowote

    Hello JF, Kwa muda mrefu sasa malalamishi ya housegirls kunyanyaswa katika nchi za kiarabu kama Oman, Turkey, etc. yamekua mengi. Ninachoona hapa ni kutokua na taarifa ama records to identify those at risk. Kama ilivyo vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), then kuwe na...
  4. dadeez

    Natafuta Designer Chipukizi mzuri wa Android Apps na IO's

    Kama Title inavyosema hapo juu, Natafuta Designer Mzuri mwenye kujiamini kwenye Area zifuatazo: 1. Android & IO's Apps Designing 2. Website na Graphics Designing 3. DataBase Sio lazima awe na uzoefu mkuuubwa kwa maana labda awe amefanya kazi na companies kadhaa au zinazotambulika hapana...
  5. teac kapex

    Memento database

    Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake. kifupi nahitaji kuona taarifa zake kwa ujumla ninapo click jina lake au kuserch kwa namba itokee kama vile...
  6. Kizzy Wizzy

    Changamoto za Ajira Portal

    1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa. 2. Mfumo...
  7. Jamii Opportunities

    Senior Database Administrator at NMB Bank

    Job Purpose Execute the design, installation, monitoring, security, maintenance, backup and recovery, support, documentation and procedures of all database management systems. Main Responsibilities Perform design, installation, maintenance and upgrade database software and related dependencies...
  8. Samedi Amba

    Mtaalam wa kutengeneza database ya shirika la afya

    Habari za leo wanajamvi, Kuna mchongo fulani hivi naifukuzia, nahitaji kujua kama kuna mtaalam yeyote (wewe au unayemfahamu) ambaye ana uzoefu wa kutengeneza electronic database ya shirika la afya k.m. chama cha madaktari, chama cha wauguzi (nk) Focus ni kujua inatengenezwaje, uzoefu na...
Back
Top Bottom