Katika kuleta ubunifu na ufanisi kwenye ufundishaji, Mwalimu Kalesi ameibua hisia mitandaoni baada ya kutumia wimbo maarufu wa msanii Mbosso, "Pawa", kufundishia wanafunzi wake darasani.
Kipande cha video kilichosambaa mitandaoni kikimuonesha mwalimu huyo akiimba na wanafunzi wake kwa pamoja...