Niaje? wadau wa mtandao huu wa Jf salaam ndugu zangu Poleni na mishe mishe za kila siku muhimu afya na uzima ndugu zangu, Sina maneno mengi sana ndugu zangu
Shida yangu ni hii kama Kuna mwanajf yoyote ana viatu vyeusi miaka mitano mpaka sita namba 30 vidogo kidogo viko katika Hali nzuri...
Watanzania tunajua ukubwa ni dawa sasa imekuwa tofauti kwenye jukwaa letu hili la jamiiforum ambapo hakuna uhusiano kati ya ukongwe wa mwanachama na ukomavu wa akili.
Nashangaa kuona mtu yupo jukwaani toka 2005 wakati mm nikiwa darasa la 5 lakini post zake zote ni kutukana na kukejeri viongozi...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1995 nikiwa naishi mbeya Sokomatola,. Nilikuwa nafanya biashara za maduka ya rejareja, sasa unajua mambo ya uswahilini kuzoeana na vitoto ambavyo vinakusaidia kuvituma vikakununulie bidhaa
Basi siku hiyo nilikuwa nimetoka kuzindua duka langu jipya, mida kama ya saa moja...
Tulipokuwa shule, darasani tulikuwa wanafunzi wa aina mbalimbali na makundi tofautitofauti kulingana na tabia au haiba ya mtu.
Darasa lililokamilika kwa hekaheka za hapa na pale ilikuwa lazima liwe na watu wa aina zote kama inavyoonekana hapa picha.
Mimi nilikuwa Joni Kisomo, wewe ulikuwa yupi?
Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Kuna mwalimu w kiume alikataliwa na mwanafunzi sasa yule teacher hasira zake akaamua kuzimalizia kwa darasa zima asee tulipigwa fimbo za kutosha tena tulikuwa tunapigwa za mapajani (chinichini ya kalio).
Waalimu hizi tabia hazifai hata kidogo mapenzi hayalazimishwi lkn pia ni kinyume na sheria
Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea!
Nikiwa Mwanafunzi wa darasa la 4 mkondo A pale shule ya msingi Nyamanoro, nakumbuka tulisombwa kwenda CCM kirumba tena...
Vijana tafuteni hela,money can buy anything
Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake
Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu
Mpaka muda huu...
Habari njema sana kwa wana JF wote.
Mimi sio muandishi mzuri sana wa nyuzi ndeefu sana, hii nikwasababu nilipokua mdogo sana niliambiwa muda ni mali sana.. nasasa nilipo kua mkubwa nimebaini muda hautoshi kabisa.
Twende kwenye maada hapo chini.
HIVI hawa vijana wanaokuja namaada kwamba...
Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028.
Je ikiwa tutautekeleza huu mtaala Mpya , maana yake wanafunzi ambao wapo darasa la nne mwaka huu wataingia form one 2028 na ambao wapo darasa la...
Wizara ya elimu ni kwamba hamjui faida za likizo?
Waziri wa elimu mbona hatukuoni umekaa wapi ebu simama tukuone!
Viongozi inamaana hamuoni watoto wanavyofanywa huko mashuleni?
Ratiba ya masomo mlipanga wenyewe, kwamba mtoto atasoma wiki kadha na likizo kadhaa!
Inamaana likizo iko ndani ya...
Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu.
Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
CCM tumewachoka
Mmetengeneza jimbo jipyala Chato kusini kwa lengo la ajabu sana.
Iko hivi,kuna mgombea mmoja tajiri wa madini ya dhaabu Pascal Lutandura ambaye aliishia darasa la 4 B lakini ana pesa za kutosha ameandaliwa jimbo hilo.
Bwana Lutandula ni mjumbe wa NEC taifa,ana network na pesa...
Ni dhahri matokeo ya Taifa kuongozwa na na viongozi wasio na elimu yenye viwango kusukuma maendeleo yameshakuwa wazi katika Taifa.
Elimu humpa binadamu confidence inayomfanya kupambana na mazingira yake . Taifa letu chini ya CCM limepoteza focus kiasi kwamba Elimu si kipaumbele tena...