Mfanyakazi wa benki ya CRDB, Stanley Josiah amefariki dunia akiwa anafanya mazoezi kwenye Daraja la Tanzanite.
Taarifa za kifo chake hicho zimethibitishwa leo Jumamosi Juni 14,2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano
Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, alipozungumza na Mwananchi Didital.
Tully amesema...
TAARIFA KWA UMMA
Tarehe 28/03/2025 majira ya saa 7:45 mchana, karibu na daraja la Tanzanite, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imetokea ajali iliyohusisha magari matatu kugongana na kusababisha majeruhi wawili na uharibifu wa magari.
Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari lenye usajili namba...
Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite.
Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu.
Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia.
Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves...
SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha.
Kwa jinsi Pesa...
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema fedha zilizotumika kujenga daraja la Tanzanite ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote. Amesema hii ndio sababu ya wananchi wanaotumia daraja hilo kutolipishwa fedha...
Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite.
Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k
Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
Daraja limejengwa mita chache kutoka daraja la zamani la Salenda. Lina Urefu wa takribani Mita 1030, Upana wa Mita 20.3 na Urefu wa Barabara Unganishi yenye KM 5.2 zilizojengwa kwa kiwango cha lami. Daraja limekamilika kwa asilimia 100%.
Tofauti na madaraja mengi ya namna hii barani Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.