dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  2. Mwanziva afanya Kikao Kazi na Makatibu Hamasa Mkoa wa Dar es Salaam

    MWANZIVA AFANYA KIKAO KAZI NA MAKATIBU HAMASA MKOA WA DAR ES SALAAM Picha za Matukio mbalimbali wakati Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Charles Mwanziva, akiongoza Kikao Kazi na Makatibu Hamasa wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Katibu wa Uhamasishaji na...
  3. Dar: Mchungaji wa Nigeria anayedaiwa kukutwa na Heroin afariki gerezani

    Mchungaji na mfanyabiashara raia wa Nigeria, Henry Ozoemena, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 20 za dawa za kulevya aina ya Heroine, amefariki dunia baada ya kupata shambulio la moyo akiwa mahabusu katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam. Wakili Yasin ameieleza Mahakama ya...
  4. Jifunze namna ya kuandika Business Plan

    Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali: Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
  5. B

    Nimejiridhisha umeme ulielekezwa Dar kwa wasema ovyo

    Ninalazimika kuwasilisha hili kama Uzi. Pongezi kwenu wazaliwa wa miaka ya 90 wa pande za za huko dar. Kwa hakika wiki 2 hizi shutuma dhidi yenu sasa nimezielewa. Inawezekana vipi pande za mikoani huku kwamba kumbe umeme unaweza kurejeshwa baada ya kutokuwepo masaa 36 mfululizo bila umeme...
  6. Ni mwaka gani ulikuja Dar es Salaam?

    Wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka umenifanya nikumbuke nilivyokuja Dar kwa mara ya kwanza ilikuwa 2016.
  7. Kutokana na mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam mechi ya Azam na Yanga itapigika kweli kwa Mkapa?

    Kama vile naona Uwanja utafurika Maji. Mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam Kitapigika kweli leo kwa Mkapa Azam na Yanga?
  8. Hospitali na wodi ya wazee

    Habari Wakuu, Heri ya Christmas na Mwaka Mpya! Naomba kufahamishwa Hospitali na Wodi ambazo kuna Wagonjwa “WAZEE” (Jinsia Yoyote) ndani ya DAR-ES-SALAAM au Ukanda wa Pwani ili niwatembelee na kuwapa Sadaka. Asante🙏🏼
  9. Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard. Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
  10. Ukiachana na Dar es salaam kuna mkoa wenye madada poa (wanaojiuza) kuishinda Arusha?

    Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni chaap hata uhangaiki, ukitaka first class mpaka wale wa lower class ni wewe tu. Ukiachana na...
  11. Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

    1998 model, 1500cc, Petrol, First registered in Tz 09/03/07with reg T...AQV. The car in condition. Price Tshs 4.5mil Contact 0784225000.
  12. Dar: Waziri Gwajima, Mkenda na Simbachawene wakutana kujadili Ukatili kwa Wanafunzi

    Mawaziri watatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Desemba 21, 2022 wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili kuhusu suala la ukatili kwa wanafunzi wa shule na vyuo na kuweka mikakati ya kupambana na ukatili huo. Mawaziri hao, Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
  13. Niliishi miaka kadhaa Dar kwa kukopesha watu pale Kariakoo kwa rejesho la asilimia kumi kwa siku

    Wanasema mjini akili. Miaka kadhaa nilikuwa napambana kukuza mtaji kwa kukopesha watu kuanzia elfu ishirini mpaka elfu hamsini kwa marejesho ya kila siku. Pale Kariakoo kuna watu hawana mtaji ila wanafahamu chimbo la bidhaa na wapi atauza. Walikuwa wanakuja na kuchukua hela halafu anarudisha na...
  14. Treni ya kisasa ya Dkt. Mwakyembe na Dkt. Robert Shumake kwa mkoa wa Dar es Salaam iliishia wapi?

    Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
  15. DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

    Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda? Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti? TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari. Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
  16. M

    Biashara zipi zinafanya vizuri (zinalipa sana) mkoa wa Dar?

    Habari, Kama inavyojulikana mkoa wa Dar es Salaam ndio mkoa mkubwa kwa biashara.ukianzisha biashara yoyote inatoka ila kuna kuzidiana. Thread hii ni ya kusuggest biashara zinazotoka sana na zinalipa sana kwa Dar es Salaam. ~ Uuzaji wa chipsi (chakula kizuri) kwa ujumla. ~ Uuzaji wa nguo (za...
  17. D

    Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

    Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya! Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja! Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na...
  18. Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi CCM Dar awakataa "Machawa"

    Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Dar es salaam, Khadija Ally Said amekataa tabia ya makada wa chama hicho kumsifu hovyo (uchawa), huku akiwataka wafanye kazi kwa ushirikiano bila kujiona miungu watu. Amesema kufanya hivyo kutasaidia kufanikisha utekelezaji wa dira ya jumuiya hiyo...
  19. S

    Mabadiliko ya kumbi za usaili - Dar es salaam

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi katika kada mbalimbali za TRA kuwa, kuna mabadiliko yamefanyika katika mpangilio wa kumbi za usaili kwa wasailiwa wote waliokuwa wamepangiwa Dar es Salaam tarehe...
  20. App and Laravel Developer anahitajika haraka. Awe Dar

    Habari wataalam, husika na kichwa cha habari hapo juu. Uwe unajua android sawa sawa bila kusahau laravel framework. NJOO PM, UWE DAR MAANA NATAKA NIONANE NA WEWE LEO LEO.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…