dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni nini msimamo wa CCM kuhusu kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam kwa Waarabu?

    Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman. Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe? CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla...
  2. JamiiForums Tanzania Safari za Reli ya SGR Dar Moro zanukia Kuanza Julai 2023

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE ASEMA SAFARI ZA DAR - MORO KUPITIA RELI YA SGR KUANZA JULAI, 2023 Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR) ambayo yamewasili kutoka nchini Ujerumani tayari kwa kuanza majaribio mwezi ujao. Naibu Waziri Mhe...
  3. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni Kiarabu maana yake Bandari!

    Kazi kwenu si mlikataa kubadiliaha jina sasa “wenyewe” wamekuja kuchukuwa Bandari yao, jina letu la Mji wetu ni Mzizima na siyo Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …
  4. JamiiForums Tanzania DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Vijana wengi na watu wa mikoani, na pengine kwa kukosa Exposure hudhani Watu wanaoishi Dar wanafaidi sana pengine kwa Maisha mazuri, hali ya hewa nzuri na pesa za kukidhi kila mahitaji Yao. Lakini asilimia kubwa ya watu Dar es salaam wanaishi mazingira magumu sana, Chumba kimoja kilichojaa ndoo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania "Plasduce Mbossa: Hakuna Mkataba wa Miaka 100 katika Bandari ya Dar es Salaam"

    Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu. Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kagame alisema kuwa mkinipa bandari ya Dar es Salaam nina uwezo wa kulisha Tanzania nzima angefanyeje?

    Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu. Bandari tuwape JKT waiendeshe. Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Wakuu habari za majukumu, Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai

    Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote. Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna watu wanafanya biashara Dar es salaam kwa mtaji wa elfu 50 tu🙌🙌

    Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu. Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jimbo la hai kilimanjaro: Mbunge wao kukosa ubunge 2025 kwa kukubali kuuzwa kwa Bandari ya Dar es Salaam

    Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam. Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai. Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine...
  11. JamiiForums Tanzania TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari ya Dar es Salaam: Historia ya uchumi wetu unaonesha kuwa ubinafsishaji umekuza uchumi kuliko nationalization (utaifishaji)

    Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi. Nyerere kwa uelewa wake akataifisha vitega uchumi hivi na kuvifanya mali ya Serikali. Uchumi wa Tanzania ukayumba sana, viwanda...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ilani ipi ya Uchaguzi inatumika kutekeleza issue hii nyeti?

    Ulifanyika uchaguzi 2020, Chama Cha mapinduzi kilimpa Magufuli na sa100 ilani waliyopitia nayo Nchi nzima kuinadi Kwa wananchi. Katika ilani hiyo ya 2020, hakuna mahala popote CCM ilimuelekeza Magufuli na Sa100 kuuza au kukodisha bandari yetu ya Dar Kwa Miaka 100 au zaidi, Bali ilielekeza...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya Mkataba wa miaka 100 ya ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World?

    Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata. Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge na ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam, huu ni ufisadi mkubwa

    Bunge letu ni taasisi na muhimili wa kidola usiopaswa kuegemea mihimili mingine ya kidola katika taifa. Kwa nini Bunge la JMT lielekezwe kubariki badala ya kusimamia (dhibiti) na kutoa mwongozo (rule of procedure) kuhusu namna ya serikali kuingia mikataba kama huu wa TPA? Wadau tunaamini Bunge...
  16. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar ikifika Jumamosi, Lodge, Guest na hotel za nyota ndogo zote hujaa. Shida nini hasa?

    Siku hizi kama unatoka safari kuja Dar, basi jitahidi usifike huku Jumamosi usiku, wallahi utalala stand.
  17. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  18. JamiiForums Tanzania Mvua Ya Algeria kama Ya Dar tu

    Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho. Itabidi tuzidishe maombi
  19. JamiiForums Tanzania Cecil David Mwambe - Wawekezaji Mradi wa LNG badala ya Kutumia Bandari ya Dar es Salaam Watumie Bandari ⛵ na Uwanja wa Ndege wa Mtwara na Lindi

    MHE. CECIL MWAMBE - MRADI WA LNG WAWEKEZAJI WATUMIE BANDARI NA UWANJA WA NDEGE WA MTWARA NA LINDI BADALA YA DAR ES SALAAM Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Mhe. Cecil David Mwambe wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati amesema ni vyema wawekezaji wa mradi wa LNG badala ya kutumia Bandari ya Dar...
  20. JamiiForums Tanzania Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali. Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…