Habarini wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 28 nipo Dar ni camera man video editor na graphic designer pia ni content creator.
Sina kazi kwa sasa, nahitaji kazi yoyote ya kujikimu kimaisha maana kwa kazi za video production bila conmection huwezi pata, hivyo nikaona nitafute kazi yoyote ile ili...