dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Mara ya kwanza kuja mjini (Dar) jiji lilikukaribisha kwa style gani ukikumbuka kwa jinsi ulivyokuwa mshamba unakufa mbavu?

    Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada. Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
  2. Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

    1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol 2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam 3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45 5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
  3. Ushirikiano wa TPA na DP World kuongeza shehena na kuleta ufanisi Bandari ya Dar

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imejipanga kushirikiana na Kampujni ya DP World ili kuongeza ufanisi wa huduma za kibandari na kuwezesha ongezeko la Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam Akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Bandari na Sekta ya Uchukuzi...
  4. Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
  5. Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  6. Nani aje, Kuna hela za Bure hapa, mademu wakali wa dar

    Nanianichanganye nimfue? Nimkamie? Nimkande.?
  7. Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake...
  8. Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Juzi jumamosi mida ya asubuhi mvua ilinyesha Dar na around saa tatu hivi ikapiga radi moja kubwa sana kwa wanaokaa pande za goba, mbezi,tegeta A, Msumi, Makabe etc. wataelewa ninachosema. Radi ambayo ilipelekea umeme kukatika kwa dakika chache tu ila tayari ilikua imeshafanya uharibifu kwenye...
  9. Je, ni sheria kila mkazi wa Dar kulipa hela ya taka?

    Wakuu salamu, Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka? Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake. Je, ni...
  10. Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
  11. Wenye wenza wenu mikoani; Nyie mko Dar mnaishije?

    Habarini wana jamvi Kuna mdogo wangu mda si mrefu may anahamia mkoan Leo niko na dogo anauliza kakaa hivi unawezaje kuishi mume dar mke mkoan and vv Dah hizi kazi majaribu sana nkamwambia mtegemee mungu atakutun,zia mkeo Shida bora angekuwa anaenda moro ama dodoma aje weekend weeee...
  12. P

    Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua. ===== Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
  13. Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna mwingine ana tatizo kama hili. Je dawa yake ni nini wakuu, milango ya corolla runx imeoza sana...
  14. Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

    Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea. Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa...
  15. Kwa anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dar naomba anicheki

    Yeyote anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dsm; Nahitaji lift. Gari lazima liwe 2.8 GD6 Hilux 2024/Mercedes Benz 2024 yenye leather seats, AC inayofanya kazi na cooler box. Tukifika Dsm mimi ndio nitaendesha gari. Tafadhali, inbox me
  16. Waziri Bashungwa simamia na kukamilisha miradi ya barabara za Dar au ujiuzulu na kumpisha anayeweza

    Niaje waungwana Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia. Kila alipopelekwa alionesha kupamudu vizuri kiutendaji, na kiusimamiaji lakini sasa huku alipoletwa sasa hivi (wizara ya ujenzi)...
  17. Si sawa Kurudia nguo bila kufua, hasa wakazi wa Maeneo yenye Joto

    Na hasa nguo za ndani mfano chupi, bra, boxer, vests. Wanao kuwa jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima, isiyostahimilika kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, huku ukiwa umechomekea mwenyewe. 🐒 Kumbuka mwili una hema, na vilevile mwili unapumua. Dah...
  18. Uzi wa mamelod kwa sasa umakwenda vizuri sana sokoni ! Kwa hapa dar umeanza kuadimika kabisa

    Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
  19. Nauli jiji la Dar es Salaam na viunga vyake ni za kumuumiza mwananchi. Serikali fungua nati

    Waungwana. Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Nauli zilizowekwa hivi karibuni ni za kumtesa mwananchi na ukiangalia kwa kina haina tija hata kwa serikali yenyewe. Hapa kuna tatizo kubwa la kukurupuka kuipandisjmha bila utafiti wa kiuwiano. Zipo njia hazina tatizo lolote kwa mfano. Mbezi- kibaha...
  20. Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…