Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
#rent
#STAND_ALONE HOUSE
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
———————————————————
KODI USD 1300$/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vinne vya kulala, # Master #Ac...
Ndio jiji pekee ambalo linakupa uhuru wa kupambana bila kelele nyingi na matarajio ya jamii za mikoani.
Hakuna pressure ya kuwa na watoto au mke/mume, “focus zako” ni zako mwenyewe.
Utaendelea kuishi geto huku unazikusanya hata ufike 45 hakuna mwenye time na wewe
Mambo ya misiba ya kuhudhuria...
Wanajamvi
Msaada kwenye tuta
Nahitaji fundi mzuri kwa ajili ya gari aina ya VW(Volkswagen)
Napokea recommendation nitashukuru nikipata namba ya simu na location ya garage
Natanguliza shukrani.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari.
"Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es...
Kwaio Dar hakuna pisi Kali🧐🧐🧐
Hii ni wiki ya pili sasa nipo hapa jijinina sijaona uhalisia WA dar wanayoisimuliaga kwenye stori🤣🤣
Nyie pisi Kali za dar mpo wapi??🧐🧐
Wiki inakata wakuu bila hata amsha amsha 🤣🤣🙏
Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
Tuna safari ndefu sana hususani hawa tuliwapa madaraka ndio watupangie kulingana na uwezo wao.
Ni jambo zuri jiji kama dar kutaka liwe linafanya kazi masaa 24 yani watu wapige kazi usiku kucha.
Je, hizo kazi mshajiuliza kuhusu waajili na wenye hizo kazi.
Kazi nyingi za tanzania ni kama...
Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar.
Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu.
Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi.
Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo.
Kwa sasa, jiji linakabiliwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na ujenzi wa miundombinu ya...
Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo
●Area size 18 acres
●Price 1.3m usd
●Document Title deed
●Distance from main road is 1km
Contact us and Schedule a visit:
🇹🇿+255758844717
Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo
●Area size 18 acres
●Price 1.3m usd
●Document Title deed
●Distance from main road is 1km
Contact us and Schedule a visit:
🇹🇿+255758844717
Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo
●Area size 18 acres
●Price 1.3m usd
●Document Title deed
●Distance from main road is 1km
Contact us and Schedule a visit:
🇹🇿+255758844717
Duniani kote, hata Marekani, unatii kwanza amri ya mamlaka, kama huridhiki nayo kuna hatua za kuchukua.
Dar Ina kamanda wa FFU, kama anashundwa kudhibiti kagenge ka watu 200,na haombi msaada mikoa jirani. Aachie kiti hicho apewe anayestahili.
Ni hawahawa walienda kyimba central police enzi ya...
Kwanza kabisa nisema Tanzania tuna jiji moja tu DSM, hayo majiji mengine ni basi tu yemepewahadhi hakukuwa na namna ila kwa uhalisia ni miji inayokuwa.
Ni jiji linalokulazimisha kuwa na kasi, matumizi makubwa, kupambana kila siku, n.k.
Wanadsm sio kwa sababu hawapendi kusaidia, bali kwa sababu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Altbert Chalamila amesema Mwenge wa Uhuru 2025 unaokimbizwa katika Mkoa huo kwa umbali wa KM 35.03.
Amesema hayo wakati akipokea Mwenge wa Uhuru, ukitokea Mkoa wa Lindi leo Juni 1, 2025 katika Stendi ya Mabasi ya mwendo kasi Mbagala Wilaya ya Temeke Jijini...
Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada ya kufanikisha makusanyo ya Shilingi Bilioni 23.02 kufikia mwezi Mei, sawa na asilimia 125 ya lengo la mwaka.
Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa...