dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubalozi wa Marekani wawataka raia wake kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya Pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unawataka raia wa Marekani kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania. Wafanyakazi wa serikali ya Marekani wamezuiwa kusafiri katika maeneo haya bila kibali cha awali ======================== Location: Islands and...
  2. PreGE2025 Olengurumwa: Kuna watu wengi hawajui kama zoezi la kujiandikisha linaendelea Dar es salaam, hakuna hamasa ya kutosha

    Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ameonesha wasiwasi wake, kwamba zoezi hilo limekosa hamasa ya kutosha ya...
  3. R

    Hivi ujenzi wa stesheni ya SGR ya Dar haujakamilika?

    Mwanzoni TRC walisema stesheni itaonekana hivi. Hilo jengo refu la ofisi pembeni silioni.
  4. Mnaotumia bajaji route za barabara kuu kama Morogoro rd kwa wakazi wa Dar kuweni makini

    Wasalaam Vijana wengi wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta hii nyeti.Wengi wa vijana hawa hawana weledi wa kutumia vyombo hivi na wengineo kama wana weledi basi ni wahuni Mara mbili napanda bajaji tunasurika na ajali...gari ziko kwenye mwendo yeye anafosi kuingia Leo aliingia kwenye lane ya...
  5. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji. Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
  6. Tujuzane machimbo ya wachina Dar, furniture na vifaa vya ujenzi

    Mimi naomba kujua chimbo la furniture za kichina. Kuanzia makabati ya jikoni, sofa, vitanda NK, pia vifaa vyote vya ujenzi. Kama una number za simu please share . NB, ni ktk kutafuta unafuu wa bei, sio kuua biashara za wazawa 😜 Asante
  7. Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  8. Ni hospitali gani kwa hapa Dar es salaam yenye Gynecologist wazuri?.

    Habari za asubuhi wanamjengo, hapa wala sitakuwa na maneno mengi twende moja kwa moja kwenye mada hapo juu . Nina shida na hospital ambayo ina huduma nzuri za madaktari bingwa wa wanawake zilizopo dsm bila kujali ni hospital binafsi au za umma. Mwenye uzoefu na hili anijuze asante.
  9. Safari ya kutoka Dar kwenda Butiama Kwa usafiri wa basi

    Nina safari hivi karibuni kwenda mkoa wa Mara Butiama naomba kujua yafuatayo: -Je mabasi yanaondoka asbhi saa 12 au muda wowote? - Safari kutoka Dar mpaka Butiama inachukua masaa mangapi mpaka kufika? - Sehemu ya kufikia inayoridhisha nikiwa hapo Butiama.
  10. PreGE2025 Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura inaendelea Dar, Machi 17 - 23, 2025

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam, kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 23, 2025. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri leo tarehe 17 Machi, 2025 ametembela vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga kura vya...
  11. Chalamila: Ukitaka kuongeza Mke Dar leta bank statement, Pesa ipo?

    Wakuu Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam? Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?
  12. PreGE2025 Katibu UVCCM Dar atembelea Vijiwe na Vikundi kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura

    Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la...
  13. Kwa wakazi wa Dar tu:- Je umeshawahi kusikia au kuhudhuria msiba wa Mmasai hapo mtaani kwenu?

    Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi kusikia kuwa kuna Mmasai kafa, wala msiba wa Maasai anasafirishwa wala anazikwa hapa mjini. Hakika...
  14. PreGE2025 Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Dar es Salaam Kufanyika Machi 17-23, 2025. Wapiga Kura wapya 643,420 kuandishwa

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
  15. Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

    Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam. Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
  16. J

    ✳️ Ni zamu yetu Dar es Salaam, tukajiandikishe tuweze kupiga kura uchaguzi mkuu

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025. Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
  17. A

    NATAFUTA AGENT AMBAE YUPO DAR TUFANYE KAZI

    Mambo vp wana ndugu natafuta agent ambae yupo dar kuna gari yangu naitaji aje kunitolea
  18. PICHA Achana na magorofa machache city centre hii ndiyo DAR halisi.

    Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana. Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia. Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
  19. M

    Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba. Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
  20. Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

    Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala, lakini wakiona kijana mwingine wanajua kupiga haraka speed za 'Formula 1'!" 🤗
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…