dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Y

    Piki piki used dar es salaam

    ..
  2. Maisha magumu, vijana wengi Dar es salaam wanavaa pete za majini.

    Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako. Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu...
  3. House4Rent Kariakoo: 4th Floor 3 Bedrooms Apartment For Rent - Dar

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  4. M

    Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

    Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
  5. M

    NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  6. L

    Epson L3210 onauzwa dar

    Epson hata nimeitumia kidogo sana kwa matumizi ya ndani ina wino ndani haujatumika hata asilimia 90 na bado chupa nyeusi nyingine imejaa. Bei 350000 tunazungumza.
  7. H

    Tunatoa huduma za kumfundisha mtoto wako nyumbani

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka. Tunaandaa wanafunzi wa: – KG 1 hadi Advance Level – NECTA, Cambridge & International Curriculum – Home Schooling, Special...
  8. Nahitaji chumba cha kulala siku 15-20 kwa Dar ninayo laki moja mfukoni

    Habari zenu wanajukwaa Kuna mdau anahitaji chumba cha kulala kwa hizo siku. Dar es salaam mabibo pawe karibu na chuo cha Nit itapendeza. Siku kuanzia 13/14 July mpaka 25/26 july Namba ya mhusika ni pm Kama unapo mahala pa kulala. Kulala ,kuoga na kujisaidia basi hakuna kingine. Yupo...
  9. Bus gani ni zuri kwa safari ya Dar kuelekea Tunduru

    Habari ndugu Wana Jamii Foram. Kwa wale Wenye uelewa wa safari za Kutoka Dar Kuelekea Tunduru. Ni Bus Gani ziko Vizuri kwa Safari Kuelekea huko naomba Mnifahamishe.
  10. Hivi paka Dar wana shida gani? Yaani paka anakimbizwa na panya?

    Hii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa 🤣, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona. Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
  11. Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona ● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge ● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia ● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu ● Maduka...
  12. Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

    Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china. Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli...
  13. Wanaume wa Dar bana!

    Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto. Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
  14. House4Rent Kariakoo: 1st Floor 2 Bedrooms Apartment For Rent - Dar

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  15. Ila watu wa Dar mnakula nini hizi?

    Watu wa Dar, hizi nazo mnakula?
  16. NATABIRI: Hema la Mwamposa la Dar (Kawe) litageuka kuwa gofu kama lile hema lake kule Moshi (Memorial)

    Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania. Kumbukumbu zinaonyesha, miaka kadhaa nyuma, Boniface Mwamposa aliwahi kusimika hema kubwa kiasi katika...
  17. Dar es salaam kuwa kitovu cha bidhaa za refurbished

    Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size...
  18. Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

    Vinginevyo ni story.
  19. Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
  20. W

    GE2025 Geofrey Timoth achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia CCM

    Wakuu Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana. === Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…