JOTO la mpambano wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Simba utakaopigwa Jumamosi Aprili 30, 2022 saa 11 jioni wiki hii katika Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda.
Hii sio tu kwa mabosi wa timu hizo, ila hata mashabiki wao.
Lakini kuna tukio kubwa lililojiri jijini Dar es Salaam jana usiku. Vigogo...