dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ndoa 300 huvunjika Dar kwa mwezi

    Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeshtushwa na kasi ya kuvunjika kwa ndoa nchini chanzo kikubwa kikiwa ni kumomonyoka kwa maadili huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ndoa ni zaidi ya 300 zikivunjika kwa mwezi. Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Stanslaus Nyongo, leo...
  2. Wanaokuja kuishi Dar wapewe semina elekezi

    Katika utafiti mdogo niliofanya hapa Dar es Salaam nimegundua kuwa changamoto za mji huu haziishi na kwa kiasi kikubwa ni zile zile miaka yote kwa kuwa wakaazi wa mjii huu, hasa wale wageni hawataki kubadilika. Leo nimepita barabara ya Bagamoyo maeneo ya Mbezi, nikaona mdada mmoja anamwaga...
  3. Kunani Zanzibar? Ina eneo dogo kuliko Dar es salaam, lakini Rais anahangaika kuiongoza, vikao na waandishi wa habari,fukuza nyingi

    Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza. Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari. Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
  4. Mabasi Dar yaruhusiwa kushusha vituo binafsi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, ameondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoani kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi na badala yake ameruhusu utaratibu huo kuendelea kwa sharti la kila basi kuingia ndani ya kituo kikuu cha Magufuli. RC Makalla...
  5. Mabango ya kitabu cha Sheikh Ponda kwenye kuta za nyumba mitaani Dar es Salaam

    MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE). Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
  6. Dar: Wahalifu wavamia mtaa, wapora mali & fedha, wapiga watu mapanga

    WATU watano wamejeruhiwa huku mmoja akiwa mahututi baada ya kundi la vijana kuvamia mtaa wa Tagusako, Tabata jijini Dar es Salaam, kupora mali na fedha taslimu." Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, mashuhuda na viongozi wa mtaa huo, walisema vijana hao wakiwa na silaha za jadi...
  7. M

    Wa mikoani(vijijini ) mtuvumilie kwanza, tunawathamini wa Dar Es Salaam ambako ndiyo Tanzania yenyewe!

    Waongozaji 90 wa makarani wa #Sensa2022 wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamesusia zoezi la #Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Chanzo: azamtvtz Kuweni wazalendo kwa kujitolea tu hata bure, taifa litawakumbuka na hata Mwenyezi Mungu nae...
  8. Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

    Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo. Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry. Nimeona sana toll gates...
  9. Natafuta mtaalam wa kilimo na mifugo anayepatikana Dar

    Habari wataalamu wa kilimo na mifugo. Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na...
  10. K

    SoC02 Tutunze mazingira ya jiji la Dar es salaam ili kupunguza joto na mafuriko

    Kila mmoja atafakari,ni nini kitatokea endapo kila kaya/familia/nyumba itapanda miti miwili tu kuizunguka nyumba hiyo,nini kitatokea baada ya miaka michache tu ya kupanda miti hiyo. Kila taasisi, iwe ya ki raia au kiserikali,ikaamua kupanda miti miwilimiwili tu kwenye kila uwazi au pembezoni...
  11. CBE Dar es Salaam kuna nini?

    Kuna uwezekano mkubwa kwa wanafunzi wa CBE Dar es salaam wa mwaka 2022 waliofaulu kujiunga na vyuo vikuu hawatapata fursa hiyo. Tafadhali wenye taarifa kamili tujuzeni. Wazazi tumelipia watoto ada miaka miwili Ili kuwapatia watoto fursa za kujiendeleza kielimu ila tunashangazwa na mwenendo wa...
  12. SoC02 Safari ya Dar es Salaam

    Safari Ya Dar es Salaam Dar es Salaam ni moja mkoa kati ya mikoa 33 na moja ya jiji kati ya majiji 5 katika nchi ya Tanzania. Dar es salaam ina wilaya 4 ambazo ni Kinondoni, Ilala, Temeke na Kigamboni. Dar es Salaam ni jiji mashughuli linalozungumziwa Zaidi katika mikoa mingine kuwa ni jiji la...
  13. TUCTA yapinga kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa meneja wa TRC kanda ya Dar es Salaam

    Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni. Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
  14. D

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam

    Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa kua na watu wengi shughuli nyingi za kimaendeleo, kibiashara na hufanyika nyakati zote usiku...
  15. Y

    SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Utangulizi na kauli kuhusu tatizo Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
  16. Natafuta Marine board used Dar es salaam

    Habari wadau, Nipo maeneo ya Goba, ziwe zimetumika mara moja tu. ziwe kwenye hali nzuri. tuchekiane inbox.
  17. Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
  18. Msako wa mifuko ya Plastiki kuanza upya Dar es salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastic iliyokatazwa huku akiwataka wananchi kujiepusha na matumizi ya mifuko hiyo. RC Makalla ametangaza operesheni hiyo leo Ijumaa Augusti 19, 2022 wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa mifuko mbadala...
  19. Yaliyonishangaza Dar es Salaam!

    Habarini za jioni wadau! Nilitoka kwenye jiji hili la Dar Es Salaam takribani miaka 15 iliyopita. Nimewasili hapa takribani kama wiki moja iliyopita na sasa ninaleta kwenu wadau uzoefu wangu mpya katika jiji hili kubwa kabisa nchini na lenye umaarufu Afrika nzima. Dar Es Salaam kuna...
  20. Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

    Hivi ni visa vya kweli vinavyotokea ili tujifunze graduate na wapambanaji wengine someni hapa. Hakuna cha nitaendelea nitafupisha zaidi iwe fupi. Ni Mimi pastor prakatatumba abaabaabaabaa etumba etumba. Ndugu zangu kwanza nikiri jiji la Dar es Salaam watu wanapambana saaana tena saana, kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…