dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam hivi mnazijua radi za Kigoma?

    Hivi hawa wazee wa chipsi Nyingi na mayonaizi ya kutosha radi kidogo mpaka mnafungulia Uzi? Hivi hizo radi kidogo mnalala uvunguni kweli? Ndio maana wavuta bange panya road wanawakimbiza Kila siku, hivi mlishafika mji wa vidono Kigoma? Watu wa Dar hizo flash hazina hata madhara kwa sababu huo...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kufika Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu. Mimi Nina miaka 23 nina mpango wa kuanza maisha Dar ila sijawahi kufika nilikuwa Nina omba ushauri maeneo gani ya dar yenye vyumba vizuri vya 30000 au chini ambavyo sio uswahilin sana ili niweze kufikia Mimi hela niliyonayo ni 500000 kuanza maisha ya geto Dar. Hapo nikifika...
  3. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Bunju A, Dar es salaam

    kiwanja kiko Bunju A, Kinondo. Mpakani mwa Madale na Mbopo ukubwa ni hatua 22 kwa 25 dakika 10 kwa Boda kutoka Bunju Shuleni Kimehakikiwa na namba ya uhakiki ipo (hati bado) Kinafikika kwa namna zote: miguu, pikipiki, baisikeli au Gari eneo limejengeka sana 6,500,000Tsh tu za Kitanzania...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ziara yangu Dar es salaam na mashangazi

    Nipo ziara Dar mitaa ya lubumbashi mbona Sioni mashangazi wakuu? Au nnataka nirudi handeni bila bila. Update: Mimi sitaki wa kupiga show nataka tu niwaone kama mnavyowasifu.
  5. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ina Magari 12 tu ya kubeba Wagonjwa, inahitaji Magari 24

    Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mfaume amesema mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa magari 24 ya kubebea wagonjwa. Dkt. Mfaume amebainisha kuwa mahitaji ya mkoa huo kwa sasa ni jumla ya gari 36 ambapo kwa sasa magari ambayo yapo na yanafanya kazi ni 12. Ameeleza hayo alipozungumza na...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi wasichana waliokatisha masomo shule zao ziko wapi kwa Dar es salaam?

    Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mjema awakumbuka wasiojiweza na wenye mahitaji Dar

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo wa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Mwenezi Mjema kwenye ujumbe wake ameeleza:- "Tukiwa katika Mwezi Mtukufu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya Dar - Ruvuma unaopangwa utafaa sana. Uanze mapema

    Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar mnapenda kunywa pombe laini.

    Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light. Acheni kunywa pombe za wadada bana
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa updates za Rivers United vs Dar es Salaam Young Africans

    Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo, Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha mpira cha kila mmoja 📌1)Dar Young Africans walicheza Jana mechi ya Kombe la Azam na kuibuka na ushindi...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuna wizi mpya umeingia Dar es Salaam, Vituo vya Daladala tuwe makini

    Habari, Kuna Wizi Mpya Upo Stendi Za Daladala, hasa asubuhi muda ambao usafiri unasumbua, anatokea jamaa karibu yako nae anajifanya kulalamikia ugumu wa usafiri, na wewe unachukulia ni abiria mwenzio mnaweza kuzoeana kwa muda mkiongelea adha za usafiri, baada ya muda linatokea gari private...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi has better Roads than Dar: American Couple

  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Mjema afanikisha futari kwa watu na makundi mbalimbali Dar

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema kuanzia Jana Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo wa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Mwenezi Mjema kwenye ujumbe wake ameeleza:- "Tukiwa katika...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

    Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati. DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
  16. JamiiForums Tanzania Wamachinga Dar wafurahia mikopo inayosimamiwa na Benki ya Maendeleo

    Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASSO) katika kipindi cha mwaka huu wamesema kuna mwanga mpya wa fursa kupitia kwa wadau wa Banki Maendeleo kwa kuwa 2023 Benki hiyo inatarajia kuwafikia Wamachinga zaidi ya elfu tano,pamoja na makundi ya Wanawake na vijana...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dar es Salaam latoa angalizo kwa wanaotaka kufanya uhalifu wakati wa Pasaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ya kuzuia matukio ya kihalifu, kwa ujumla hali ya Dar es Salaam ni shwari. Hata hivyo Polisi hawatasita kuendelea kufuatilia na kuwakamata watu wanaopanga njama na kutenda matendo ambayo ni kinyume na sheria...
  18. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua msichana wa kazi Dar, apandishwa kizimbani

    Zikiwa zimepita siku 53 tangu aliyekuwa msichana wa kazi za ndani Annet Kassim (20) kudaiwa kuuwawa na bosi wake, mfanyabiashara Diana Sabhai (44), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na shtaka la kumuua msaidizi wake. Februari 9 mwaka huu mwanamke huyo, mkazi...
  19. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Buza ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Kama tunavyoelezana kila siku kuwa hakuna aliye juu ya Sheria. Mkionewa muwe mnachukua hatua bila kutizama sura ya mtu. Yeyote anaweza kushitakiwa, akakutwa na hatia na akatumikia adhabu. Tarehe 4/4/2023, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Mheshimiwa JOHN...
  20. JamiiForums Tanzania Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Machawa wa Rais Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam

    Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar es Salaam. Mtanzania maarufu wa Kituo Cha Redio kongwe nchini Clouds FM Mwemba Burton almaarufu kama Mwijaku ametangazwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar Es Salaam. Katibu wa Chawa wa Mama Taifa Neema Karume amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…