Jengo la kitega uchumi Dar es Salaam

Wakati linajengwa wana harakati wa enzi hizo walipiga vita sana ,kuwa inakuwaje wananchi hawana huduma muhimu kama maji pesa zote mnajenga ghorofa
Sema umeounguza sifuri tatu
 
Kila siku nawambia pesa ina badilika na ardhi inabadilika. sinza miaka 80 mzee alikataa kununua nyumba kwa laki tisa.
kimara ilikuwa pori ni kama unajipimia kwa laki

ila kwa pesa hiyo uliyosema hapana
 
Kila siku nawambia pesa ina badilika na ardhi inabadilika. sinza miaka 80 mzee alikataa kununua nyumba kwa laki tisa.
kimara ilikuwa pori ni kama unajipimia kwa laki

ila kwa pesa hiyo uliyosema hapana
Amepunguza sifuri kadhaa kama sio tatu sijui
 
Jengo hili

Kwa manufaa ya wale ambao hawajawahi kukanyaga jiji letu la Dar es Salaam basi muonekano wake ni huu

Jengo la Kitega Uchumi la NIC

1674760164453.png
 
UKila siku nawambia pesa ina badilika na ardhi inabadilika. sinza miaka 80 mzee alikataa kununua nyumba kwa laki tisa.
Na
kimara ilikuwa pori ni kama unajipimia kwa laki

ila kwa pesa hiyo uliyosema hapana
Unabisha nini!?..gari miaka ya 70 buku Tano hamnahamna 10,Sasa elfu 40 miaka ya 60 unafikiri ndogo!?
 
Waliobomolewa morogoro road maeneo ya kibo hadi kimara walipewa viwanja mbweni wakavitelekeza,nazungumzia wamiliki halali wa miaka hiyo sio hawa aliowavunjia Magu hawa kanjanja
 
Miaka ya 70 babu yangu alikataa shamba la heka 3 kwa shilingi 100 Mikocheni.

Eneo lilikuwa jirani kabisa na TPDC mbele nyumq ya Rose Garden
 
Miaka ya 70 babu yangu alikataa shamba la heka 3 kwa shilingi 100 Mikocheni.

Eneo lilikuwa jirani kabisa na TPDC mbele nyumq ya Rose Garden
bora tu hakununua. Mngekuja kudhulumiwa ama kuwauzia kina ritz kwa million 1 miaka ya 90
 
Kuna mjomba wangu aliniambia miaka ya 90 alipelekwa kimara kulikuwa na viwanja akasema hawezi kukaa maporini, Leo hii amejenga Chanika tena baada ya kukumbuka shuka kumeshakucha,
 
Miaka ya 70 babu yangu alikataa shamba la heka 3 kwa shilingi 100 Mikocheni.

Eneo lilikuwa jirani kabisa na TPDC mbele nyumq ya Rose Garden
kama bado yupo nenda kamkaange makofi ila na wewe usiache kununua kununua ardhi vikindu miaka 40 ijayo utakuja kukaangwa makofi na wajukuu zako
 
Back
Top Bottom