dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo changamoto kuu mbili mradi wa treni ya mwendokasi Dar ~ Moro

    Serikali ina wazo zuri. Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri. Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :- 1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?) 2. Reli zetu haziko...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

    Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu kijana wa Kizanaki,mtoto wa Chief na "mvaa kaptula" alikuja baadae sana Dsm wakati wenzake wakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

    Za leo wana MMU. Natafuta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu wanione sababu ni star mimi nafuatiliwa kinoma so staki picha zangu zisambazwe maana najua wadadaz...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports. The Minister for Works, Transport and...
  5. JamiiForums Tanzania Govt orders 3 towers razed in the wake of Friday building collapse

    By Elisha Magolanga Dar es Salaam As the death toll occasioned by the collapse last Friday of a high-rise building along Indira Gandhi Street in Dar es Salaam reached 25 by mid-day yesterday, the government ordered a demolition of three structures close to the ill-fated one over safety...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM ajinyonga Manzese!

    By Elisha Magolanga A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional Police Commander Charles Kenyela told The Citizen yesterday that Joseph Lugemalila, 21, killed himself at...
  7. JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…