Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby

NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
1,111
Likes
734
Points
280
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
1,111 734 280
Hahahahaha kimpiski kaka
 
petercornelmwakyeja

petercornelmwakyeja

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Messages
494
Likes
240
Points
60
petercornelmwakyeja

petercornelmwakyeja

JF-Expert Member
Joined May 1, 2015
494 240 60
Pesa yako tu kaka
 
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
1,111
Likes
734
Points
280
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
1,111 734 280
Laki 4 na nusu mkuu kwa siku brackfast na lunch pamoja
 
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
1,111
Likes
734
Points
280
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
1,111 734 280
Breakfast na lunch inclusive
 
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Messages
1,826
Likes
758
Points
280
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined May 7, 2012
1,826 758 280
za leo wana MMU.
natafta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu wanione sababu ni star mimi nafuatiliwa kinoma so staki picha zangu zisambazwe maana najua wadadaz lazima wanipige picha na wale ninaofahamiana nao unajua ukiwa handsome hata kama huna time na mademu lazima watakufata tuu.
nataka chumba kiwe na screen ya maana wakati nimpuzika na mpenzi wangu niangalie muvi na mambo mengine ya kufurahisha nafsi yangu nisahau shida zangu zote.
napenda juicy, matunda na nyama choma hasa mbuzi choma huku bibie akitabasamu na kunionyesha mashaalah mambo yake alojaliwa na muumba, juicy pembeni tudumbukie swimming tochezeane huku tunakata juicy mdogo mdogo baada ya hapo ni chumbani tukajimwage kwa raha zetu, kumbuka hii ni zaid ya paradise life yan ni batta moja hatari sana haijawah tokea katika ulimwengu huu wa wapendanao.
plz mliowahi kutumia/mnazijua nipeni bei na kama vipi kama mna picha nitumieni nijue vyema eneo lenyewe naloenda kuvinjari, just for one week or more depend on my baby decision.
Ramada Resort Africana near white Sands! But upo tayari kumaliza more than usd 180 per 9t?
 
xuxu meyu

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
368
Likes
244
Points
60
xuxu meyu

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
368 244 60
Nenda tandale au manzese pale ukiona pameandikwaguest house halafu mlangoni kibao kimeandikwa vyumba vipo ingia bei cheee kabisa achana na mambo eti swiming kwani unaenda kufua au ku ge...da?
 
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
1,111
Likes
734
Points
280
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
1,111 734 280
Pamoja, ukikaaa week moja itakuwa ume enjoy vya kutosha mkuu
 
T 1990 ELY

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Messages
4,710
Likes
4,034
Points
280
Age
28
T 1990 ELY

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2014
4,710 4,034 280
za leo wana MMU.
natafta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu wanione sababu ni star mimi nafuatiliwa kinoma so staki picha zangu zisambazwe maana najua wadadaz lazima wanipige picha na wale ninaofahamiana nao unajua ukiwa handsome hata kama huna time na mademu lazima watakufata tuu.
nataka chumba kiwe na screen ya maana wakati nimpuzika na mpenzi wangu niangalie muvi na mambo mengine ya kufurahisha nafsi yangu nisahau shida zangu zote.
napenda juicy, matunda na nyama choma hasa mbuzi choma huku bibie akitabasamu na kunionyesha mashaalah mambo yake alojaliwa na muumba, juicy pembeni tudumbukie swimming tochezeane huku tunakata juicy mdogo mdogo baada ya hapo ni chumbani tukajimwage kwa raha zetu, kumbuka hii ni zaid ya paradise life yan ni batta moja hatari sana haijawah tokea katika ulimwengu huu wa wapendanao.
plz mliowahi kutumia/mnazijua nipeni bei na kama vipi kama mna picha nitumieni nijue vyema eneo lenyewe naloenda kuvinjari, just for one week or more depend on my baby decision.
Ningependa kujua umetokea wapi Mkuu

Ili niweze kuainisha sehemu ambayo nataka kukuelekeza

Samhani lakini
 
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Messages
6,869
Likes
5,454
Points
280
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2016
6,869 5,454 280
Nenda tandale au manzese pale ukiona pameandikwaguest house halafu mlangoni kibao kimeandikwa vyumba vipo ingia bei cheee kabisa achana na mambo eti swiming kwani unaenda kufua au ku ge...da?
Hapo kunamfaa sana!
 
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
1,111
Likes
734
Points
280
NI MTAZAMO TU

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
1,111 734 280
poa bos, kuna ndugu anasema natumia pesa vibaya sasa namakkishia yeye ambae anajibana kwani zimewahi kutosha? naenda kimpango kujimwaga siku chache sio mbaya
Punzisha akiri kaka kama nafasi ipo ,sio tusikie kwa wazungu tu...niabuuu na maisha yenyewe yakowapi kaka
 
Usedcountrynewpipo

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
3,686
Likes
2,189
Points
280
Usedcountrynewpipo

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
3,686 2,189 280
ok nashukuru sana, embu nipe bei ya wiki moja hapo maeneo nikajichane na bibie wangu mtarajiwa
Hicho kiwanja, kauze Rav 4 yako ndio upate pesa ya kuspend kwa wiki
 
Iramusm

Iramusm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
428
Likes
97
Points
45
Iramusm

Iramusm

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
428 97 45
Hizi style zingine za kunasa warembo,ni shidaaa!
 
jembelamkono

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Messages
2,390
Likes
1,433
Points
280
Age
34
jembelamkono

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2015
2,390 1,433 280
Nenda Double Tree by Hilton.
 
Forum statistics

Threads 1,237,367
Members 475,533
Posts 29,286,076