dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Ramadhani in Dar es Salaam, Once Upon a Time

    Makala hii nimeiandika miaka michache nyuma kwa ajili ya gazeti moja Ulaya na ndiyo sababu iko kwa Kiingereza. RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS Observation of the holy month of Ramadhan in actual fact begins when the moon is sighted at the end of Shaaban. Soon after Magrib...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Bombardier yaranda randa anga ya Dar es Salaam

    Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali
  3. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya maeneo mengi Dar es Salaam yananuka

    Bonjour Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa...
  4. JamiiForums Tanzania Migomigo na Lango la Jiji ni wapi hapo Dar es Salaam?

    Kwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni. Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?
  5. JamiiForums Tanzania Ukimuomba au ukimdai hela mtu wa Dar es Salaam utaambulia sound

    Hakwambii kama hana au atakutafutia kesho anaanza kukupanga Mara ooh subiri kidogo kipengele hapa usafiri Mara blah blah kibao yaani lazima akuingize viswahili acheni ujanja ujanja watu wa dar sio unamuaminisha mtu asubiri ukipigiwa simu inazingua acheni kudanganya danganya wakuu.
  6. JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
  7. JamiiForums Tanzania Treni Mchongoko yawasili nchini

    Seti ya kwanza ya EMU Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  9. JamiiForums Tanzania Nauli jiji la Dar es Salaam na viunga vyake ni za kumuumiza mwananchi. Serikali fungua nati

    Waungwana. Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Nauli zilizowekwa hivi karibuni ni za kumtesa mwananchi na ukiangalia kwa kina haina tija hata kwa serikali yenyewe. Hapa kuna tatizo kubwa la kukurupuka kuipandisjmha bila utafiti wa kiuwiano. Zipo njia hazina tatizo lolote kwa mfano. Mbezi- kibaha...
  10. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  11. L

    JamiiForums Tanzania "Makubaliano ya Dar es Salaam" yazidi kuvunja fikra potofu kwamba "maendeleo ya kisasa ni sawa na mambo ya kimagharibi"

    Mkutano wa 13 wa Baraza la Washauri la China na Afrika ulifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo ulifikia "Makubaliano ya Kukuza Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa kati ya China na Afrika," unaojulikana pia kama "Makubaliano ya Dar es Salaam." Kama mafanikio muhimu...
  12. JamiiForums Tanzania Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  13. JamiiForums Tanzania Soko la Madini Dar Es Salaam ni hatari

    I hear a lot of talk kwamba Dar ni Soko la hatari sana kwenye sekta ya Madini! Je ni kweli ?
  14. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

    Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha. Haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

    Hakuna Timu ambazo Naziogopa hasa zikifika katika hatua ya Robo Fainali kama za Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC. Ninadhani tumeelewana vyema tu.
  16. JamiiForums Tanzania Athari za Mvua March 2024: Hali ikoje eneo ulipo?

    Tangu asubuhi kumekuwa na mvua kubwa ikinyesha jijini Dar es Salaam. Huu uzi ni kujulishana athari na matokeo ya mvua hizo. Je, ni barabara gani hazipitiki, tupite wapi? Wapi kuna mafuriko, na hatua gani tuchukue ili tuwe salama? Tuhabarishane sisi kwa sisi.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi watakaokataa kujiunga na DP World watapelekwa kufanya kazi bandari nyingine. Je, TPA wamekabidhi bandari yote Dar kwa DPW?

    Tangazo la TPA la ufafanuzi linasema wafanyakazi watakaobaki TPA watakwenda kufanya kazi bandari nyingine nje ya DSm. Kwa kauli hii maana yake hakuna mfanyakazi wa TPA atakayebaki bandari ya DSM baada ya DP world kuanza kazi? Tangazo lao na ufafanuzi uliowakutolewa hapo awali ulionyesha ni...
  18. JamiiForums Tanzania LATRA simamieni Utekelezaji wa Nauli za Daladala hasa za Ruti mpya, Wananchi hatuna Mtetezi tunateseka

    Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha. Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk. Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
  19. JamiiForums Tanzania Hiii ni Kariakoo Gerezani ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni aibu kwa kweli

    Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri. Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Tanzania wachekelea baada ya kuzinduliwa njia mpya ya meli kati ya China na Dar es Salaam

    Hivi karibuni Tanzania ilizindua njia mpya ya meli ya moja kwa moja kati ya China na Bandari ya Dar es Salaam. Huduma hii mpya ambayo inatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa muda wa mizigo kusafiri kutoka China na kuwasili Tanzania, kutoka wiki sita (siku 42) hadi wiki tatu (siku 21), inaonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…