dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  2. JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme umerudi Dar es Salaam?

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika. TANESCO mtuweke wazi ili tunavyopanga ratiba zetu na ninyi tuwajumuishe na mipango yenu ya kukata...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo zinazolipa Dar es salaam

    Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka 1. Miwa- hii inalipa sana 2. Karanga 3. Kahawa- faida X2 4. Fenesi- k/koo&sinza, Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa wapambanaji zaidi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la kibiashara Urusi na Tanzania jijini Dar es Salaam 2024

    Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0 DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania zina uwezo wa kuongeza maradufu biashara zao. Na wafanyabiashara wa Urusi waonyesha nia ya kuwekeza...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

    Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa. Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana. Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Barabara ya Mtwara hadi Dar es Salaam kujengwa upya

    Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia. Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuishi Dar es Salaam bila gari ni kujipunja na kuihujumu familia kimaisha?

    Nimekutana na huu mjadala mahala. Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini. Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga. Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

    Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu? How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
  10. JamiiForums Tanzania Satelites za Starlink zikionekana angani kutokea Dar es Salaam, Oktoba 24, 2024

    Jana usiku, majira ya saa mbili hivi, nilikuwa mahali nikibadilishana mawazo na washkaji, lakini bila kutarajia, nilijikuta macho yangu yakielekea angani ambapo yaliona kitu kilichotafsiriwa kichwani mwangu kuwa cha ajabu. Kwanza, nilidhani ni msururu wa ndege zinazopita kwenye anga la...
  11. JamiiForums Tanzania Narudi Dar es salaam

    Nimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu, Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani fursa kibao, hizo ni story tuu mikoani pagumu mzunguko wa pesa mgumu kabisa. Tukutane kitambaa cheupe...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya Udereva, nipo Dar es Salaam

    NAPATIKANA DAR es salaam , gongo la mboto. Kazi ya uendeshaji magari pia pikipiki nipo tayari. Asante
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Tirioni moja kutumika kuboresha Miundombunu Dar

    Serikali imesaini kuanza Ujenzi wa Barabara za Mitaa ya Jiji la Dar Zenye urefu wa km 250 Kwa zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2. Pamoja na kwamba Jiji la Dar ndio kitovu Cha Uchumi wa Nchi ila upendeleo umezidi. Kwa jini la Dar peke yake Kuna miradi yenye zaidi ya km 600 kama Ifuatavyo. Pia soma...
  14. JamiiForums Tanzania Dawasa na mtambo wa Ruvu Juu ni mzimu unaowatesa wananchi wa Dar es salaam

    Hii dawa yenu inayochemka saivi yaani ipo siku kuna watu watainywa ikiwa ya moto kabisa.
  15. JamiiForums Tanzania Wakoloni walitaka jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu,ghafla likaelekea Bagamoyo na Morogoro

    Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha. Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road. Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Polisi wana matumizi makubwa na mabaya ya nguvu katika ukamataji wa bodaboda Dar es Salaam

    Mimi ni bodaboda ambaye kwa namna moja ama nyingine nimekutana na mikasa ya aina mbalimbali barabarani kama ajali, kuibiwa pamoja na kadhia ya kukamatwa na Askari wa Usalama barabarani kwa makosa mbalimbali ya barabarani. Ni kweli ninakiri mara kadhaa nimekuwa nikivunja sheria za barabarani...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Hello naitwa agnes nimemaliza sheria chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi 0695703354
  18. N

    JamiiForums Tanzania Coca-cola na KFC watambulisha 'food pass'

    Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kujipatia zawadi mbalimbali lakini pia kushiriki Tamasha la Chakula la Coca-Cola linalotarajiwa kufanyika Novemba. Kampeni hii, iitwayo ‘Food Pass’...
  19. JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh 678.6 bilioni wa TPA kuleta mapinduzi ya upakuaji mafuta katika bandari ya Dar es salaam

    Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha...
  20. JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta ya Petrol na Diesel Dar es Salaam Mchana huu Oktoba 16

    Wakuu mjini hakuna mafuta kabisa. Inakuwaje? Uhaba wa gafla bin vuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…