dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Y

    DC Chauchau apewe nafasi ya kuongoza Mkoa wa Dar es Salaam

    Naam Habari zenu waungwana. Namzungumzia ambaye sasa ni mkuu wa wilaya ya kigoma mjini ndugu Dkt Rashid Chuachua, ambaye pia amewahi kufanya kazi chini ya ndugu Albert Chalamila. Chalamila alipokuwa mkuu wa mkoa wa mbeya Chuachua alikuwa ni mkuu wa wilaya ya mbeya mjini, kama nimekosea...
  2. A

    Naomba Kazi ya udereva boss Dar es salaam.

    Habari zetu wakubwa. Mimi nipo Naishi Dar es salaam. Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka. Naweza kuendesha Manual na Automatic. Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving. Nilijiunga mafunzo...
  3. PreGE2025 Makalla: Wanaobeza maendeleo ya Dar es salaam hawajui tulikotoka

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla akizungumza na wakazi wa Temeke Aprili 30.2025 amewashukia wale wote wanaobeza maendeleo ya jiji la Dar es Salaam, kwa kusema kuwa watu hao hawajui historia ya jiji hilo na hatua ya kimaendelea iliyopigwa kuanzia kipindi cha...
  4. Nyumba inauzwa Bahari Beach Dar es Salaam

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  5. Kazi ya night shift dar es salaam

    Habari za mda huu waungwana mimi ni mkufunzi wa kujitolea katika moja ya chuo hapa mjini kwa mda wa mchana hivyo natafuta kazi ya kuniingizia kipato mda wa usiku ili kubalance maslah madogo ninayoyapata kwa sasa Naomba ushirikiano wenu pale utakapopata au kuwa na kazi yoyote inayozingatia...
  6. Dar ni ya hovyo sana mvua Kidogo tuu mafuriko kila serikali Ikifanya uanzi sahihi kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma

    My Take Watu wanaoishi Dar wanapata shida sana Kila siku taabu. Kuna likiwaka taabu joto kama Afghanistan na Khartoum Mvua ikinyesha mafuriko kilamaha vinyesi vinaelea njia hazipitiki. Hongera sana Nyerere, Magufuli & Samia.Dom nk Mji salama na sahihi kuwa Capital City Katika tukio jingine...
  7. Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi. sifa za mlinzi anaehitajika. Awe mtanzania Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta...
  8. APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

    #sale APPERTMENT ZINAUZWA “”” ZIPO ZA VYUMBA VITATU “” ZIPO ZA VYUMBA VIWILI ZOTE ZINA WAPANGAJI VYUMBA VITATU NI LAK 700K VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200”” KUNA HATI MILIKI OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO LOCATION MBWEN MPIJI...
  9. A

    KERO Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam umeshindwa kuliongoza jiji

    Katika jambo linalonishangaza ni kuwa mwaka huu 2025 mwezi wa nane Tanzania kama ilivyo Kenya na Uganda tunahost michuano ya CHAN na 2027 tunahost Afcon lakini jiji la Dar es Salaam kila kukicha linaendelea kuwa chafu, vibanda na biashara hole holela zinaongezeka kila kona. Bodaboda hawana...
  10. O

    Usafiri wa mwendokasi: Ukombozi uliogeuka mateso kwa wakazi wa Dar es Salaam

    Katika mji wa Dar es Salaam unaokua kwa kasi kubwa – kijamii na kiuchumi – changamoto ya usafiri wa umma imeendelea kuwa doa kubwa katika jitihada za kuimarisha maisha ya wakazi wake. Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na matumaini makubwa ya kupunguza...
  11. J

    Horticulturist Job Vacancy, Dar es Salaam

    Job Title: Horticulturist Location: Dar es Salaam, Tanzania Job Summary: We are seeking a Horticulturist to help improve plant growth, yield, and quality. Horticulturist will manage gardening operations, care for various plants, and lead research efforts to optimize crop development. Key...
  12. Askari Polisi ni wengi leo Mitaa ya Dar es Salaam, wanaimarisha ulinzi na wanaonekana wapo tayari kwa “kazi”

    Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
  13. M

    PreGE2025 Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

    Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo. Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema...
  14. O

    Udanganyifu wa Maendeleo (The Illusion of Progress): Jinsi Migogoro Iliyopangwa Inavyoathiri Jiji la Dar es Salaam

    Dar es Salaam, jiji la kibiashara la Tanzania, linakabiliwa na changamoto nyingi za mijini kama vile msongamano wa magari, mafuriko, na miundombinu duni. Ingawa serikali huonekana kuchukua hatua mara kwa mara, uchambuzi wa kina unaonyesha mtindo unaojirudia: matatizo huibuka au kudumu kutokana...
  15. House4Rent Modern 2-BHK Apartment for Rent | Upanga, Dar es Salaam**

    Features: Bedrooms: 1 en-suite + 1 shared bathroom. Spaces: Open-plan kitchen, living & dining areas, private balcony. Utilities: Dawasa water supply & Bole reservoir access. 🔧 Amenities: - Elevator, standby generator, secure parking. 📞 Contact: WhatsApp 0755 312 233 for pricing...
  16. House4Rent **Modern 3-Bedroom Apartment | Upanga, Dar es Salaam**

    🏠 Features: Master en-suite + 2 shared-bedrooms, open-plan living, balcony, ACs, ceiling fans, higher floor. 🏢 Amenities: Gym, elevators, standby generator, CCTV, secure parking. 💵 Price: TSh 2.7M/month (6-month advance payment). 📲 Contact: WhatsApp 0755 312 233 for viewing. #LuxuryLiving...
  17. Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

    Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
  18. Mgawanyo wa Kiimani maeneo mbalimbali Dar Es Salaam

    Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kiislamu wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi. Buguruni kwa mnyamani Tandale yote Manzese yote Ilala Magomeni Kinondoni Mwananyamala Temeke Mburahati Tandika Mbagala Mabibo Vingunguti Kigogo Boko Buza Tabata 50 Chanika 50 Na Haya maeneo yana ndugu wa...
  19. Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…