dalali

  1. O

    KUMBUKIZI (2019): Magufuli alipompokonya Ardhi ya Ekari 1,000 Mohamed Kiluwa hadharani kwa udanganyifu

    Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
  2. JOHNGERVAS

    Boss kwezi Dalali mjanja

    Idara ya Masoko ya Boss Kwezi imeendelea kuwa mfano bora wa ubunifu, uthubutu na kasi katika kusambaza taarifa muhimu kwa wananchi wa Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho ushindani wa masoko umeongezeka, timu hii imeonyesha kwamba mbali na kufanya kazi kwa weledi, imejitoa kuhakikisha kila...
  3. jaytravo

    Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14 0615636384 0653172333
  4. GENTAMYCINE

    Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  5. nipo online

    Dalali ameniibia sh 10,000,sio ustaarabu lakini

    nimemaind sana, nimempa laki 1 net ili akampe mwenye nyumba, badae nampigia kama alishampa anasema ndio nimempa 90 nikauliza mara mbili nilijua amekosea, anadai haikutimia et jamaa nilimwamini tumezunguka sana hii jioni kutafuta chumba hatimae tukapata. nimetoa kwa wakala nikamkabidhi laki...
  6. Dalali_wa_kimataifa

    Beach Plot for sale, located at Kigamboni Dege, Price $3M, Negotiable

    Wonderfully Sand Beach Plot for Sale at Kigamboni Dege ●Area ize 9.6 Acres ●Price 3m usd ●Document: Title deed Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  7. M

    Dalali wa viwanja/nyumba - Dar es Salaam

    Unahitaji NYUMBA kwa Kupanga au kununua, Sehemu ya ofisi ama biashara, Kiwanja cha kununua Karibu tukufanyie kazi — 0716442950
  8. kavulata

    Serikali ya Zanzibar kemeani kauli za Ahmed Ally na Mzee Dalali zisizo za kimichezo, zinawachafua

    Ulishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex? Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru. Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia...
  9. Dalali_wa_kimataifa

    APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

    #sale APPERTMENT ZINAUZWA “”” ZIPO ZA VYUMBA VITATU “” ZIPO ZA VYUMBA VIWILI ZOTE ZINA WAPANGAJI VYUMBA VITATU NI LAK 700K VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200”” KUNA HATI MILIKI OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO LOCATION MBWEN MPIJI...
  10. Dalali wa kimataifa

    Ghorofa linauzwa,kariakoo daressalaam tanzania,bei ni billion 2.5,maongezi yapo

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  11. G

    Naweza pada dalali dodoma wa kuniuzia mashine mbili za kunyolea saluni kwa haraka maana nimekwama haswa

  12. Dalali_wa_kimataifa

    House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa fukwe ya Kigamboni

    One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni -It has six bedrooms all en-suite, sitting room, dining room, kitchen, store and public toilet. -There is a lift and Swimming pool - Servant Quarter with one bedroom, sitting room and public toilet -Plot size Sqmtrs 1,960 -Document...
  13. GENTAMYCINE

    Mzee Dalali nakuheshimu sana na acha kabisa kutaka Kuwadanganya wana Simba SC kuwa sijui Yanga SC wanatuhujumu ili tufungwe Keshokutwa na Al Masry

    “Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
  14. ndege JOHN

    Kuwa dalali au mtu wa madini

    Ipo kazi nzuri kati ya hiyo kwa mtu ambaye ana ari ya kupambana kutoboa kirahisi.changamoto ninayoijua Mimi kwenye madini ni kwamba lazima uyajue madini lazima uyajue aidha uyasomee au uzoefu.na hata udalali uwe mzoefu na mwenye NGUVU ya ushawishi MPAka kuachiwa kuendesha mchongo. All in all...
  15. Top Gun

    Njiwa kaingia nyumbani na wala haoneshi dalali ya machachari na wala hataki kuondoka

    Sijaona jirani wa karibu kama anafuga njiwa. Saa kumi na moja jioni, Mke wangu amerudi kutoka kusuka , ile anafika nyumbani ndio ikawa imeanza kunyesha, ndio akakukatana na njia ambaye kama amenyong'onyea. Akamasaidia kumtoa katika mvua akamwingiza ndani. Baadae akamtoa nje ila hajaruka na...
  16. M

    NAUZA KIWANJA KIPO UBUNGO-GOBA Plot P 44132 chenye 866sqm Bei 45 mil..hakina dalali

    Kichwa cha habari kimejitosheleza kiwanja kina hati kabsaa hakina dalali me ndio muhusika... Phone: 0712183658 Mita 200 toka barabara ya lami ya goba mtaa barabara ya mwishekhe
  17. W

    Natafuta dalali wa kiwanja

    TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali. Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami...
  18. R

    Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Wakuu, Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali. Ambapo, baada ya...
  19. ahmedj

    House4Rent Dalali wa nyumba, vyumba na viwanja Bagamoyo road

    4RENT - CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO LOCATION: GOBA SENTA BEI: TSHS 300000 CALL - 0716442950
Back
Top Bottom