daftari la wapiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  2. erasto Samwel

    LGE2024 Marehemu wengi Katavi waandikishwa kwenye daftari la wapiga kura

    Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi wanazomea. Halafu Waziri unaleta usanii kwamba wananchi wamejiandikisha wengi ili kumfurahisha Rais. Hii...
  3. J

    LGE2024 Una maoni gani kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa 2024 Lakamilika: Je, Wananchi Wanasemaje? Mnamo Oktoba 20, 2024, zoezi la Uandikishaji wa Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limekamilika rasmi Tanzania. Zoezi hili muhimu ni hatua ya kwanza kuelekea uchaguzi...
  4. M

    LGE2024 Uandikishaji Daftari la Wapiga Kura umefanyika kihuni Halmashauri ya Songea. Baadhi ya wananchi wameandikiana majina

    Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa umefanywa ‘kihuni sana’ hapa Songea Moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona katika mchakato wa Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa ni Wananchi wengi kukosa elimu ya mchakato huo, hilo likachangia...
  5. TODAYS

    Hii Taarifa ya Uandikishaji Ina Ukweli Gani ndg Mtanzania?

    Ujomile? Nimeona hizi taarifa mbili tofauti nikapata swali moja, je na hawa walioandikishwa na daftari kupotea wamo?. 👇🏾👇🏾
  6. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 UVCCM Morogoro Wahamasisha Wananchi Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    UVCCM MOROGORO WAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Morogoro (UVCCM) wametembelea Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro kwa lengo kubwa la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura wa...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga Kura

    Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka...
  8. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Wanu Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Ajiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
  9. R

    Ukiacha CCM ambao ndio wanaratibu dosari za daftari la kuandikisha wapiga kura, vyama vingine havioni dosari hizo?

    Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ? Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence...
  10. Waufukweni

    LGE2024 Karatu: Kijana Jasiri aibua Kashfa, Msimamizi wa kituo aondoka na daftari la wapiga kura ajaza majina kivyake!

    Katika kata ya Qurus, Wilaya ya Karatu, hekaheka za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 ziliendelea, lakini hali ilikuwa ya kioja. Mussa, msimamizi wa kituo na Mratibu wa Elimu Kata, alikabiliwa na malalamiko makali kuhusu uandikishaji wa majina ya...
  11. Labani og

    LGE2024 Wana JF mmejiandikisha? hizi ni faida za kujiandikisha kupiga kura

    Faida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na: 1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta maendeleo na kushughulikia maslahi ya jamii. 2. Kuhakikisha uwakilishi wa...
  12. Roving Journalist

    LGE2024 Waziri Bashungwa aongoza uhamasishaji Wananchi wa Karagwe kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi...
  13. Nyendo

    LGE2024 Jimbo la Rungwe, Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni

    Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni. Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma ! Tutaenda nao hivyo hivyo...
  14. Nyendo

    LGE2024 Wakala wa CHADEMA, Jacob Emily adaiwa kuumizwa alipokua akizuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM kuingizwa kwenye daftari la uandikishaji wapiga

    Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi. Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu...
  15. Roving Journalist

    LGE2024 Dodoma: Rais Samia ashiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. https://www.youtube.com/live/oreFWNwWmTY?si=mpNgbVFGvb8Q81HQ Rais Samia Suluhu Hassan akiwa...
  16. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
  17. Mindyou

    Mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la wapiga kura Zanzibar Umepoa mno. Kwanini influencers hawatumiki kama kwenye Kizimkazi Festival?

    Wakuu, Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar. Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana. Hakuna shamrashamra na hamasa kivile kwa wananchi. Hamna social media campaigns, matangazo ya...
  18. Yoda

    PreGE2025 Daftari la wapiga kura na kitambulisho kimoja tu cha kura ni urasimu unaopunguza wapiga kura na kufifisha demokrasia

    Hiki kinachoitwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa raia wote waliokidhi vigezo na wanaohitaji kupiga kura ni aina fulani ya kituko na jambo lisilo na tija yoyote katika demokrasia zaidi ya kupunguza ushiriki wa raia katika uchaguzi kwa urasimu wa ajabu ajabu tu. Pia ni upotezaji...
  19. Blasio Kachuchu

    PreGE2025 Manyara: Wananchi waaswa kujitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Wananchi mkoani Manyara wameaswa kujitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwakuwa hiyo ni haki yao kisheria. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bi. Giveness Aswile wakati...
  20. Majitha

    Kuchangia gharama za uandikishaji zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura serikali za mitaa ipo kisheria?

    Habari wananzengo, Tumesambaziwa barua na Chama cha Mapinduzi kutuomba kuchangia kuboresha zoezi la kulipa kura, lakini mie nahisi harufu na rushwa na kupigwa maana daftari ya kupiga kura inaboreshwa na Tume, iweje chama ndiyo kituletee barua. Naomba kusaidiwa. OR TAMISEMI
Back
Top Bottom