dada wa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

    Mtoto Erickson Kimaro mwenye umri wa miaka nane anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi Mei 31, nyumbani kwao Kimara Temboni jijini Dar es Salaam. Msichana wa Kazi za ndani mwenye umri wa miaka 13 Mkazi wa kata ya Moshono jijini Arusha anadaiwa kumuua kwa kipigo mtoto wa Boss wake mwenye umri wa...
  2. realMamy

    SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
  3. BEZO JR

    Nahitaji dada wa kazi

    Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani. Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi. Awe anajitambua. Tuwasiliane inbox 📥
  4. Suley2019

    Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

    Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16. Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa...
  5. Frank Wanjiru

    Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

    Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake. "Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi...
  6. N

    Dada wa kazi za nyumbani anahitajika

    Dada wa kazi za nyumbani anahitajika, nyumba ipo Kinondoni studio Dar es Salaam. Kuna dada mwingine yupo anahitajika mwingine wa kusaidiana naye. Kazi za kawaida za nyumbani na malezi ya Watoto. Kazi sio ya kuja na kuondoka ni ya Kuishi apo apo. Mshahara utakuwa makubaliano baina ya pande...
  7. Braza Kede

    Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

    Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
  8. osmaney

    Natafuta dada wa kazi za nyumbani.

    Habari wapendwa! Samahani, natafuta dada wa kazi za nyumbani. atakuwa anaishi nyumbani. na nyumba ipo na mke pamoja mtoto tu. Kigezo; Awe na miaka kwanzia 18 - 24, Mchamungu & anayejielewa. Eneo: Dar es salaam. Mshahara: Maelewano. Mawasiliano: +255 676 797 679
  9. BILGERT

    Natafuta dada wa kazi

    Anahitajika dada wa kazi,awe na vigezo vifuatavyo. A)Umri kuanzia miaka 18-25 B)Awe na uzoefu wa kazi za ndani, pamoja na kupika.asiwe mtu wa kuanza kufundishwa kazi. C) Awe anatokea Singida, Manyara ama Mwanza. D) Awe na mdhamini anaye tambulika in case of anything. E) Awe muaminifu na mwenye...
  10. R

    Dada wa kazi za ndani na utapeli mpya mjini

    Habari wakuu, Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani. Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
  11. IqraNI

    Msaada: Namna ya kumfundisha au kuishi na dada wa kazi kwa muda mrefu

    Habari ya jumapili wadau. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ninaomba msaada wenu tafadhali. Nina dada ambaye ana umri wa miaka 19(lakini kimuonekano anaonekana ni mkubwa), lakini dada huyu hajui kazi za ndani iwe kuosha vyombo, kupiga deki au kupika.. Alipofika alielekezwa majukumu yake na...
Back
Top Bottom