Wanabodi,
Kila asubuhi, kabla ya jua kuchomoza na kabla ya wengi kukurupuka kutoka vitandani mwao, kuna mikono inayowasha jiko, kuandaa chai, na kusafisha nyumba. Hii ni mikono ya mabinti na wanawake wanaofahamika kwa jina la kawaida tu—"Dada wa Kazi".
Hata hivyo, nyuma ya usafi wa nyumba...