Habari wakuu? Mimi nimeoa, baada ya mda nikafungua kiofisi ambacho ilituradhimu tutafute house girl, baada ya mda tulimpata mwenye umri around 16 yrs dah! Huyu house girl anaamka saa 12 asubuhi anapiga kazi kufikia saa sita mchana kaivisha na chakula cha mchana.
Kiukweli mimi house girl...
Merry Xmas !
Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze
Ana miaka 25
Anajua kupika
Anajua kufua
Anaweza kupanga nyumba vizuri
Kazi ya duka anaweza pia.....
Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua.
Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya nyumbani. Ukimwekea mtoto videos zake hata hawasogei walipokaa.
Wapo wanaosema kuna madhara mtoto...
Housegirl hakuwa karibu na tukio kuu, alikuwa mbali mahali ambapo hata wageni waalikwa walikuwa karibu zaidi yake
hata hivyo baada ya wazazi kumpa keki mtoto kwa mategemeo awalishe wao kwanza, alibeba keki na kwenda kule mbali alikosimama housegirl na kumlisha.
Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?
Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.
Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani .
Yupo Dar DSM
Kuhusu yeye
Ana age 18
Darasa la saba
Anatoka Mtwara vijijini
Dini yake Muslim.
Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa Zanzibar
Taarifa zake kuhusu boss wake wa zamani zipo pia
Familia yake ipo na unaweza wasiliana...
Kwanza hakikisha unampunguzia majukumu maana hutafuti mtumwa, nunua baadhi ya mashine mf. Mashine ya kufulia, zipo za laki 6 nzuri sana, mashine ya kudekia zipo za laki 4 nanusu nzuri sana. Ukiweza unaweza tafuta na yakuoshea vyombo ila hii si lazima.
Pili tafuta mdada ambaye hata wewe...
Wazee wa mahaba mpo?
Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini?
Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
Kila Kona nchini watu wamekuwa wakilalamikia Visa vinavyofanywa na Dada wa Kazi.
Visa hivyo hufanyiwa Watoto, na hata Ma Boss wenyewe waliowaajiri.
Wengine hufikia hatua ya kueleza kuwa pengine malezi yanasababisha visa hivyo kutokea.
Mfano wa Kisa kimoja huu hapa chini
Aisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa chumba dada wa kazi nikijipumzisha tu na dada wa kazi alikuwa ananifundisha kilugha cha cha kabila moja la kanda ya ziwa lakini wife haniamini...
Utangulizi
lengo la nakala hii ni kutoa ushauri haswa kwa serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya namna gani tunaweza kupambana na vitendo vya ukatiri ulio shamiri kwa sasa katika maeneo tofauti tofauti dhidi ya dada wa kazi za nyumbani kwa familia wanazo zifanyia kazi. Mpaka ivi...
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanawake huleta dada wa kazi ndani ili kujionesha ati wana pesa kwa kuwa wana wasaidizi hawa.
Hivi hawa wadada wa kazi wanafanyaga jambo Gani la maana au gumu ambalo mwanamke asilifanyaje.
Yaani kulea, kulisha na kufulia mtoto hadi uajiri mdada...
Imeripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuhusu Mtoto aliyechinjwa na Dada wa kazi. Watu wanaishia kulalamika tu bila kutoa suluhisho ya kitu gani kifanyike kupunguza huu ukatili Mkubwa kwa watoto wasio na hatia.
Tumeshuhudia hivi karibuni kukamatwa haraka kwa kijana aliyechana picha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.