"Nilikuja kugombea Mtwara wakati sina uhakika kama je wana Mtwara mtanichagua kuwa Mbunge ama lah, lakini kwasababu niliapa kwa Mwenyenzi Mungu wana Mtwara mlikuwa mnaonewa sana, wana Mtwara mlikuwa mnapigwa sana, Bodaboda walikuwa wanaonewa sana, barabara Mtwara kulikuwa hakuna, maji...