crdb

  1. Senior Specialist; IT Infrastructure at CRDB Bank

    Reporting line- Manager; Server & Storage Location- Head Office Job Summary To ensure smooth day-to-day operations of all servers, storage and systems by being a subject matter expert in the Server and Storage area and driving the evolution of technologies including but not limited to server...
  2. Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

    Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure. Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi. Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso...
  3. Naomba kujuzwa saa za kazi CRDB siku ya Jumamosi

    Msaada wa kufahamishwa masaa ya kazi ya bank ya CRDB siku ya Jumamosi, wanafungua saa ngapi?
  4. Hongera Abdulmajid Nsekela kwa kuteuliwa na Rais Samia kuingia Tume ya Maendeleo ya Ushirika, ila nakujuza haya...

    Ni tarehe 26/08/2022 Andiko langu la pongezi na onto kwa kijana wetu mpendwa ambae binafis ni kijana mwenzake lakini lazima nimwoneshe yakuwa aliko teuliwa kwenda Kuna vichaka vya wachawi kwa masilai Yao awe makini. Lazima nikili yakuwa uteuzi wa Huyu kijana kuwa mkurugenzi wa CRDB...
  5. Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

    PATA ELIMU KIDOGO KUHUSU NMB & CRDB MAKATO Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndani ya benk (Over the counter)? a) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB Simbanking, ATM au Ndan ya benk (Over the counter) au...
  6. Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

    CRDB ni official Simba Day partner "CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba." "Tunawashukuru CRBD kuwekeza kwenye Simba Day, najua huu ni mwanzo. Tunatamani siku moja kuwaona hata kwenye jezi. Baada ya Simba Day kuna CRDB Marathon na...
  7. Digital Delivery Manager at CRDB Bank

    ROLE SUMMARY The role holder will drive forward and deliver outcome-focused digital and systems change across the organisation. The Delivery Manager will lead on the delivery of all digital development as well as technical systems development to support CRDBs business objectives. They will work...
  8. CRDB Bank badilikeni

    Niende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu...
  9. Kuna shida gani CRDB salary advance

    Nimeingia kwenye simbanking app nikiangalia kwenye menu sioni icon ya salary advance,imetolewa au kuna marekebisho wamefanya...?
  10. CRDB Bank hili suala halijakaa sawa

    Habari Wakuu! Leo katika harakati za kuweka mambo sawa nilienda Bank CRDB Bank main customer service desk pale nikakuta kuna mteja anataka kufanya account activation coz ilikuwa dormant sasa akawa hana kitambulisho ila ana copy tu ya kitambulisho cha Taifa. Ikabidi wale wadada wamwambie ni...
  11. Kuna shida gani CRDB Bukoba?

    Wakuu. nipo huku mkoa wa BUKOBA hakika nimesikitika kupata taarifa kutoka kwa wajasiriamali wa hapa juu ya benki hiyo tawi la Bukoba kusitisha utoaji mikopo na kufunga matawi yake yote ndani ya mji. tawi la Zamzam limefungwa na yale yote yaliyoko pemmbezoni mwa mji. Wajasiriamali wanasema kuwa...
  12. Specialist; Cyber Security at CRDB Bank

    Reporting line- Manager; CyberSecurity Job Summary Responsible for daily monitoring of the IT Infrastructure using security technical expertise and looking for patterns and potential issues, this includes working in close connection with Senior ICT Management. Focal point for the provision of...
  13. CRDB hii siyo sawa, rekebisheni hili

    Mko vizuri sana kwenye slogan yenu ULIPO TUPO. Mtu anakopa hela kwenu kwa makubaliano kuwa mtakuwa mnamkata kwenye mshahara wake kila ukiingia mwisho wa mwezi. Mme muingizia mtu mkopo jumatatu hii mshahara haujaingia bado lakini leo hii alhamisi mmeanza kukata kwenye ule ule mkopo mnakiuka...
  14. K

    Gawio la Hisa CRDB

    Kama mwanahisa napenda nielemishwe kwa yafuatayo:- (1) Ni kigezo gani kinachotumika (Directors fees)mathalani Wakurugenzi 10 kulipwa Tshs.965,000,000 kwa mwaka na hii ina maana ya Tshs 96,500,000 kwa Mkurugenzi moja kwa mwaka na Tshs 8,041,666 kwa mwezi kwa mkurugenzi moja na kwa siku...
  15. K

    Gawio la hisa za CRDB

    Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:- (1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia...
  16. Ni kweli kwamba watumishi wasiopitishia mishahara yao benki ya CRDB hawana nafasi ya mikopo katika benki hiyo?

    Hili suala nimelisikia sehemu ndugu zangu wanajamii forum kwa mnaojua ukweli wa suala hili Basi mtujuze tusiojua vizuri.
  17. Zonal ICT Specialist- Eastern Zone at CRDB Bank

    Reporting line- Manager, Card System Job Summary Provide effective technical support for Eastern zone office and branches for all ICT working tools such as computers, printers, scanners, office machines and End-User working tools. Responsible to provide the best level of support to ensure...
  18. CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

    Benki ya CRDB imekutwa na kitu gani kwenye idara yao ya mikopo? Unaomba mkopo inapita mwezi au zaidi hawaweki pesa! Ukifuatilia ni majibu ya kupigana kanzu. Kama shida ni mikopo kuwa centralized rudisheni branch ndo wawe wanalipa. Mna riba nafuu lakini inaboa kufuatilia mkopo for long time...
  19. Zonal ICT Specialist- Eastern Zone at CRDB Bank May, 2022

    Reporting line- Manager, Card System Job Summary Provide effective technical support for Eastern zone office and branches for all ICT working tools such as computers, printers, scanners, office machines and End-User working tools. Responsible to provide the best level of support to ensure...
  20. N

    Kwanini CRDB hutoa gawio dogo?

    Benki ya CRDB ni moja kati ya benki kubwa hapa nchini. Kitu nisichoelewa kutoka benki hii ni sababu zinazoifanya benki kutangaza gawio kiduchu mara inapoatangaza ukifananisha na banki za ukubwa wake kama NMB? Je inaweza kuwa ni sababu ya benki kuwa na expenses kubwa ambazo zikipunguzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…